Makonda na Bongo movie mchawi wenu huyu hapa

Time Traveller

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
314
303
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo anafahamu. Yalianza kumea taratibu mpaka sasa ndio yamefikia kilele chake. Tunalaumu filamu za nje kutokana tu tu na tabia yetu watanzania ya kujificha nyuma ya ukweli. Nchini Korea kabla ya mwaka 2006 hali ya filamu zao ilikuwa dhoofu lihali lakini hawakuchukua hatua ya kuzuia filamu za Marekani bali walikaa chini na kumtafuta mchawi wakaweka mipango ya muda mrefu wakafanikiwa.

Bongo movie mchawi wenu ni mambo makuu matano;
1.Elimu, Mipango na Malengo (self awareness, planning and goals)
2.Maudhui (contents)
3.Uzalishaji (production)
4.Masoko (Marketing)
5.Wasanii (actors &actress)

1. Elimu, Mipango na malengo.
Ukifuatilia wasanii na directors wakubwa duniani waliofanikiwa sana kupitia filamu utagundua wana elimu kubwa sana hadi za vyuo vikuu vya sanaa. Bongo movies wamekosa elimu kabisa. Wanafanya mambo kienyeji enyeji tu. Cha kufanya Sasa hawawezi kurudi shule lakini wanaweza kutafuta watu waliosoma na hasa wenzetu wazungu waliofanikiwa tayari wakawasaidia kufika wanapotaka hapa nazungumzia directors na the whole proctuction team. Iteni mkutano watafuteni kina Ernest Napoleon, Tafuteni wale directors wazungu wa Siri ya mtungi kaeni chini tafuteni njia ya kutoka.

2. Maudhui hapa naomba niseme mnafeli sana. Story ndio moyo wa filamu. Tuna watunzi wazuri sana wa hadithi na riwaya nchini. Kina Hussein Tuwa, Erick shigongo, Shaffih Adamu shaffi, na wengineo lakini sidhani kama kuna msanii au kampuni ya bongo iliwahi kuwafuata na kutaka kufanya kazi nao. Tunataka kuenda kienyeji enyeji. Utasikia Ray au JB anakwambia story nimetunga mimi blah, blah, blah, tangu lini we ukawa writer? Ndio maana tunapata story zile zile zinazoboa na kuchosha.

3. Uzalishaji. Piga ua lazima kutumia gharama na muda na teknolojia katika production kama unataka kufika mbali. Vifaa vya kisasa, teknolojia ya computer n.k . Bongo flavor walikubali na kutoka nje ya nchi kufanya production na watu wanaojua kazi. Nendeni nje ya nchi tafuteni producers wenye vifaa, elimu na kujua kutumia teknolojia vizuri muwalete nchini tafuteni watunzi bora tumieni mazingira mazuri ya Tanzania tengenezeni vitu vizuri mafanikio yatakuja. Siri ya mtungi ilifanyiwa production na wenzetu wazungu, itafuteni mfananishe na uchafu wenu wa part one na part two.

4. Masoko. Naomba niwaambieni dunia ya sasa msanii huwezi tegemea CD na kufanikiwa inaonesha jinsi gani hamfikirii kabisa. Hivi ukizuia machinga kuuza filamu za nje? Utamzuai kuburn na kuduplicate copy ya hizo cd zako?
Filamu sasa soko lake kubwa ni cable channels (kama Netflix) na Movie Theatre. kama wewe ni bongo movie unasoma hapa tafuta Netflix ni nini ujifunze.
Mlivyokaa na Mkuu wa Mkoa nilitegemea mtamwomba Bongo movie Theatres. Imagine kuna bongo Movies Theatres majiji yote makubwa nchini pamoja na miji mikubwa nchi jirani kama Nairobi, Kampala, Kigali n.k Then inaoneshwa filamu ya bongo yenye viwango vya kimataifa inaoneshwa huko. Mmeshajiuliza mtapiga mkwanja kiasi gani? Niliwahi kuwa na mzungu mmoja kila Siku anataka nimpeleke Movie Theatre ya filamu za kibongo lakini hamna. Kiswahili ni fursa kubwa ya Bongo movie kukitumia kupiga hela.

5. Wasanii.
Wasanii wa nchi hii ni tatizo kubwa na wana njaa iliyopitiliza. Mnafuata nini kwenye siasa nyie, hivi mnajua mna mashabiki wa vyama vyote. Unapovaa nguo za chama Fulani unajiulizaga umepoteza wateja milioni ngapi kutoka chama kingine?. Umewahi kumuona Denzel Washington au will Smith amevaa nguo za chama? Acheni njaa.
Wewe kama msanii mwonekano wako ndio office yako unajitunza vipi. Mnakula mnajisahau mnanenepeana hovyo. Unaangalia bongo movie ni vitambi tuu vimejaa alafu mnalalamika movie za nje zinawaharibia soko.

Jitambueni.
 
Ila kweli,aseee!
Wafuatilie sasa huu ushauri,hii mtegemea cha nduguye,...watajuta muda si mrefu.
 
ujumbe mzuri.
mwenyekiti wao alikuwa/sijui bado ni mwenyekiti steve nyerere yule chapombe ata erick omondi hamfahamu.. utajiuliza anajifunza kutoka wapi.

waachane na siasa yako kama manyumbu wote wanataka kugombania ubunge.

hawa wakuna jb ray steve nyerere kila kukicha wanaambatana na ccm wanapoteza muda na mashabiki. waamue moja kufanya sanaa au siasa.

wachawi ni wao wenyewe.

story ray
director ray
producer ray
executive producer. ray
editor ray
location manger ray
main character ray

from rj compan duh.
 
Hii tunaita akili kubwa wakale walikopeleka mboga kipindikile wanaendekeza njaa wako busy na siasa na campaign za ccm sie tulikua busy tunajipoza na Korean series na movie za maana za mbele huko walijisahau wakaendekeza tamaa na vijisenti vya ccm leo hii wanakumbuka shuka kumekucha [HASHTAG]#wasitupangie[/HASHTAG] movie za kuangalia wachukue movie ushuzi zao za jambazi kavua viatu wakamuuzie bashite sie tupo busy tuna download movies zenye akili kubwa za mbefele huko kipaji chao kikubwa ni umalaya hawapo busy na ubunifu wanadhani mitako ndio inauza mbona kina Halley berry vimbaumbau lakini wapo juu wasituchefue wakauzie ccm izo movie zao
 
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo anafahamu. Yalianza kumea taratibu mpaka sasa ndio yamefikia kilele chake. Tunalaumu filamu za nje kutokana tu tu na tabia yetu watanzania ya kujificha nyuma ya ukweli. Nchini Korea kabla ya mwaka 2006 hali ya filamu zao ilikuwa dhofu lihali lakini hawakuchukua hatua ya kuzuia filamu za marekani bali walikaa chini na kumtafuta mchawi wakaweka mipango ya muda mrefu wakafanikiwa.
Bongo movie mchawi wenu ni mambo makuu matano.
1.Elimu, Mipango na Malengo (self awareness, planning and goals)
2.Maudhui (contents)
3.uzalishaji (production)
4.Masoko (Marketing)
5.Wasanii (actors &actress)

1. Elimu,Mipango na malengo.
Ukifuatilia wasanii na directors wakubwa duniani waliofanikiwa sana kupitia filamu utagundua wana elimu kubwa sana hadi za vyuo vikuu vya sanaa. Bongo movies wamekosa elimu kabisa. Wanafanya mambo kienyeji enyeji tu. Cha kufanya Sasa hawawezi kurudi shule lakini wanaweza kutafuta watu waliosoma na has a wenzetu wazungu waliofanikiwa tayari wakawasaidia kufika wanapotaka hapa nazungumzia directors na the whole proctuction team. Iteni mkutano watafuteni kina Ernest Napoleon, Tafuteni wale directors wazungu wa Siri ya mtungi kaeni chini tafuteni njia ya kutoka.
2. Maudhui hapa naomba niseme mnafeli sana. Story ndio moyo wa filamu. Tuna watunzi wazuri sana wa hadithi na riwaya nchini. Kina Hussein Tuwa, erick shigongo, Shaffih Adamu shaffi, na wengineo lakini sidhani kama kuna msanii au kampuni ya bongo iliwahi kuwafuata na kutaka kufanya kazi nao. Tunataka kuenda kienyeji enyeji. Utasikia Ray au JB anakwambia story nimetunga Mimi blah, blah, blah, tangu lini we ukawa writer?? Ndio maana tunapata story zile zile zinazoboa na kuchosha.
3. Uzalishaji. Piga ua lazima kutumia gharama na muda na teknojia katika production kama unataka kufika mbali. Vifaa vya kisasa,teknolojia ya computer n.k . Bongo flavor walikubali na kutoka nje ya nchi kufanya production na watu wanaojua kazi.Nendeni nje ya nchi tafuteni producers wenye vifaa,elimu, na kujua kutumia teknolojia vizuri muwalete nchini tafuteni watunzi bora tumieni mazingira mazuri ya Tanzania tengenezeni vitu vizur mafanikio yatakuja. Siri ya mtungi ilifanyiwa production na wenzetu wazungu, itafuteni mfananishe na uchafu wenu wa part one na part two.
4. Masoko. Naomba niwaambieni dunia ya sasa msanii huwezi tegemea CD na kufanikiwa inaonesha jinsi gani hamfikirii kabisa. Hivi ukizuia machinga kuuza filamu za nje? Utamzuai kuburn na kuduplicate copy ya hizo cd zako?
Filamu sasa soko lake kubwa ni cable channels (kama Netflix) na Movie Theatre. kama we ni bongo movie unasoma hapa tafuta Netflix ni nini ujifunze.
Mlivyokaa na mkuu wa mkoa nilitegemea mtamwomba Bongo movie Theatres. Imagine kuna bongo Movies Theatres majiji tote makubwa nchini pamoja na miji mikubwa nchi jirani kama Nairobi, Kampala, Kigali n.k Then inaoneshwa filamu ya bongo yenye viwango vya kimataifa inaoneshwa huko. Mmeshajiuliza mtapiga mkwacha kiasi gani? Niliwahi kuwa na mzungu mmoja kila Siku anataka nimpeleke Movie Theatre ya filamu za kibongo lakini hamna. Kiswahili ni fursa kubwa ya Bongo movie kukitumia kupiga hela.
5. Wasanii.
Wasanii wa nchi hii ni tatizo kubwa na wana njaa iliyopitiliza. Mnafuata nini kwenye siasa nyie, hivi mnajua mna mashabiki wa vyama vyote. Unapovaa nguo za chama Fulani unajiulizaga umepoteza wateja milioni ngapi kutoka chama kingine?. Umewahi kumuona denzel Washington au will Smith amevaa nguo za chama? Acheni njaa.
Wewe kama msanii mwonekano wako ndio office yako unajitunza vipi. Mnakula mnajisahau mnanenepeana hovyo. Unaangalia bongo movie ni vitambi tuu vimejaa alafu mnalalamika movie za nje zinawaharibia soko. Jitambueni.
Kuhusu wasanii hapo ndp kabisa ipo shida kubwa. Miaka ile ya mwanzoni,actors/actress walikua ni wale wanaoifaham fani kwelikweli. Walianza kupoteana pale ambapo vibinti viuza sura na wakaka mabishoo bila kuwa na ujuz,wakaingia huko. Bila kujua kila fani ina ueledi wake,basi kila miss Ilala,Kila kidemu kizuri kikajiita nae ni msanii. Huu ulikua ni utani wa hali ya juu. Kilichofuatia ni kukosa ubunifu na kubaki kuuza sura tu kwenye filamu. Kila fani ina vipaji na nidhamu yake,haya mambo ya kila mrembo kujiona ni msanii yamesababisha kupoteza muelekeo kwa tasnia ya filamu nchini. Bongo movie,badilikeni,kuweni wabunifu,tengenezeni movie za maudhui ya Kitanzania. Movie zenu zilizojaa mambo ya usasa bandia hazina jipya. Namkubali sana Mzee mmoja anaigiza movie za Kitanzania(jina nadhani ni Mzee Msisiri)
Hapa unapiga angel faces,jumba kubwaaa,mambo ambayo siyo realistic!Mimi nikishaona hivyo tu najua huu ni utani,wala sipotez muda.
Lakini pia Bongo movie ifike wakati movie za Action zikitengenezwa vizuri zitawatoa. Watu wengi hawapendi movie zenu za kila siku mapenziiiii na kuuza tu sura.
 
Pia lugha kilichowapandisha wa Nigeria nikutumia kingereza maana wangetumia ki Ibo Fulani nk. Huenda tusingeziangalia movie zawo
Kingine actors na ma actress walewale. Utakuta staring ni Wolper, Kajala Ray etc. Wakati wangeleta watoto wadogo huenda ingependeza zaidi
Tatu waulize bongo flavour inafanje mbona tunawasikiliza wakina Inrique Iglesias, Jayz Beyonce na bado tunasikiliza Diamond, Kiba Jay D , Professor J nk.
 
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo anafahamu. Yalianza kumea taratibu mpaka sasa ndio yamefikia kilele chake. Tunalaumu filamu za nje kutokana tu tu na tabia yetu watanzania ya kujificha nyuma ya ukweli. Nchini Korea kabla ya mwaka 2006 hali ya filamu zao ilikuwa dhofu lihali lakini hawakuchukua hatua ya kuzuia filamu za marekani bali walikaa chini na kumtafuta mchawi wakaweka mipango ya muda mrefu wakafanikiwa.
Bongo movie mchawi wenu ni mambo makuu matano.
1.Elimu, Mipango na Malengo (self awareness, planning and goals)
2.Maudhui (contents)
3.uzalishaji (production)
4.Masoko (Marketing)
5.Wasanii (actors &actress)

1. Elimu,Mipango na malengo.
Ukifuatilia wasanii na directors wakubwa duniani waliofanikiwa sana kupitia filamu utagundua wana elimu kubwa sana hadi za vyuo vikuu vya sanaa. Bongo movies wamekosa elimu kabisa. Wanafanya mambo kienyeji enyeji tu. Cha kufanya Sasa hawawezi kurudi shule lakini wanaweza kutafuta watu waliosoma na has a wenzetu wazungu waliofanikiwa tayari wakawasaidia kufika wanapotaka hapa nazungumzia directors na the whole proctuction team. Iteni mkutano watafuteni kina Ernest Napoleon, Tafuteni wale directors wazungu wa Siri ya mtungi kaeni chini tafuteni njia ya kutoka.
2. Maudhui hapa naomba niseme mnafeli sana. Story ndio moyo wa filamu. Tuna watunzi wazuri sana wa hadithi na riwaya nchini. Kina Hussein Tuwa, erick shigongo, Shaffih Adamu shaffi, na wengineo lakini sidhani kama kuna msanii au kampuni ya bongo iliwahi kuwafuata na kutaka kufanya kazi nao. Tunataka kuenda kienyeji enyeji. Utasikia Ray au JB anakwambia story nimetunga Mimi blah, blah, blah, tangu lini we ukawa writer?? Ndio maana tunapata story zile zile zinazoboa na kuchosha.
3. Uzalishaji. Piga ua lazima kutumia gharama na muda na teknojia katika production kama unataka kufika mbali. Vifaa vya kisasa,teknolojia ya computer n.k . Bongo flavor walikubali na kutoka nje ya nchi kufanya production na watu wanaojua kazi.Nendeni nje ya nchi tafuteni producers wenye vifaa,elimu, na kujua kutumia teknolojia vizuri muwalete nchini tafuteni watunzi bora tumieni mazingira mazuri ya Tanzania tengenezeni vitu vizur mafanikio yatakuja. Siri ya mtungi ilifanyiwa production na wenzetu wazungu, itafuteni mfananishe na uchafu wenu wa part one na part two.
4. Masoko. Naomba niwaambieni dunia ya sasa msanii huwezi tegemea CD na kufanikiwa inaonesha jinsi gani hamfikirii kabisa. Hivi ukizuia machinga kuuza filamu za nje? Utamzuai kuburn na kuduplicate copy ya hizo cd zako?
Filamu sasa soko lake kubwa ni cable channels (kama Netflix) na Movie Theatre. kama we ni bongo movie unasoma hapa tafuta Netflix ni nini ujifunze.
Mlivyokaa na mkuu wa mkoa nilitegemea mtamwomba Bongo movie Theatres. Imagine kuna bongo Movies Theatres majiji tote makubwa nchini pamoja na miji mikubwa nchi jirani kama Nairobi, Kampala, Kigali n.k Then inaoneshwa filamu ya bongo yenye viwango vya kimataifa inaoneshwa huko. Mmeshajiuliza mtapiga mkwacha kiasi gani? Niliwahi kuwa na mzungu mmoja kila Siku anataka nimpeleke Movie Theatre ya filamu za kibongo lakini hamna. Kiswahili ni fursa kubwa ya Bongo movie kukitumia kupiga hela.
5. Wasanii.
Wasanii wa nchi hii ni tatizo kubwa na wana njaa iliyopitiliza. Mnafuata nini kwenye siasa nyie, hivi mnajua mna mashabiki wa vyama vyote. Unapovaa nguo za chama Fulani unajiulizaga umepoteza wateja milioni ngapi kutoka chama kingine?. Umewahi kumuona denzel Washington au will Smith amevaa nguo za chama? Acheni njaa.
Wewe kama msanii mwonekano wako ndio office yako unajitunza vipi. Mnakula mnajisahau mnanenepeana hovyo. Unaangalia bongo movie ni vitambi tuu vimejaa alafu mnalalamika movie za nje zinawaharibia soko. Jitambueni.
You nail it all mkuu!!
 
Haya ss ushauri huo Kwa bongo movie,Mwenye kusikia na asikie
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu hasa ulipomalizia na mambo ya siasa umemaliza kila kitu

Wanashindwa kutambua kwa siasa tulionayo kwa sasa ukitambulika wewe ni mwanachama wa chama fulani (kindakindaki) basi fahamu kuna watu hawatonunua kazi zako hata ziwe nzuri vipi
 
bongo movie chaka lingine la machangudoa,watu wanakurupuka watoto hawataki shule wanakimbilia kuuza sura,vigezo kwa mwanamke kuingia bongo movie mpaka uwenamakalio makubwa uwenauwezo wakukaa uchi uchi,ndio nini sasa filamu zenyewe hazilingani na maisha ya kilasiku ya mtanzania huwezi kupata inspiration kwa kuangalia bongo movie,kwangu ni marufuku kabisa movie yoyote ya kibongo except za mzee majuto,senga,pembe..!!hawa wakina JB wanafake kila kitu inafikia hatua mpaka maisha yao halisi ni fake
 
ujumbe mzuri.
mwenyekiti wao alikuwa/sijui bado ni mwenyekiti steve nyerere yule chapombe ata erick omondi hamfahamu.. utajiuliza anajifunza kutoka wapi.

waachane na siasa yako kama manyumbu wote wanataka kugombania ubunge.

hawa wakuna jb ray steve nyerere kila kukicha wanaambatana na ccm wanapoteza muda na mashabiki. waamue moja kufanya sanaa au siasa.

wachawi ni wao wenyewe.

story ray
director ray
producer ray
executive producer. ray
editor ray
location manger ray
main character ray

from rj compan duh.
nilitaka kuuliza hivi ni mzazi gani humu JF anatamani mwanae awe kama star Bongo movie
 
Mtu anajiita msanii maarufu wakati hajatoa hata movie moja wapi na wapi. Bongo movie imekuwa kama jukwaa la wasichana kujiuza.

Hata pale mkizuia filamu za nje bado hamwezi kuuza filamu zenu hapa nchini
 
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo anafahamu. Yalianza kumea taratibu mpaka sasa ndio yamefikia kilele chake. Tunalaumu filamu za nje kutokana tu tu na tabia yetu watanzania ya kujificha nyuma ya ukweli. Nchini Korea kabla ya mwaka 2006 hali ya filamu zao ilikuwa dhofu lihali lakini hawakuchukua hatua ya kuzuia filamu za marekani bali walikaa chini na kumtafuta mchawi wakaweka mipango ya muda mrefu wakafanikiwa.
Bongo movie mchawi wenu ni mambo makuu matano.
1.Elimu, Mipango na Malengo (self awareness, planning and goals)
2.Maudhui (contents)
3.uzalishaji (production)
4.Masoko (Marketing)
5.Wasanii (actors &actress)

1. Elimu,Mipango na malengo.
Ukifuatilia wasanii na directors wakubwa duniani waliofanikiwa sana kupitia filamu utagundua wana elimu kubwa sana hadi za vyuo vikuu vya sanaa. Bongo movies wamekosa elimu kabisa. Wanafanya mambo kienyeji enyeji tu. Cha kufanya Sasa hawawezi kurudi shule lakini wanaweza kutafuta watu waliosoma na has a wenzetu wazungu waliofanikiwa tayari wakawasaidia kufika wanapotaka hapa nazungumzia directors na the whole proctuction team. Iteni mkutano watafuteni kina Ernest Napoleon, Tafuteni wale directors wazungu wa Siri ya mtungi kaeni chini tafuteni njia ya kutoka.
2. Maudhui hapa naomba niseme mnafeli sana. Story ndio moyo wa filamu. Tuna watunzi wazuri sana wa hadithi na riwaya nchini. Kina Hussein Tuwa, erick shigongo, Shaffih Adamu shaffi, na wengineo lakini sidhani kama kuna msanii au kampuni ya bongo iliwahi kuwafuata na kutaka kufanya kazi nao. Tunataka kuenda kienyeji enyeji. Utasikia Ray au JB anakwambia story nimetunga Mimi blah, blah, blah, tangu lini we ukawa writer?? Ndio maana tunapata story zile zile zinazoboa na kuchosha.
3. Uzalishaji. Piga ua lazima kutumia gharama na muda na teknojia katika production kama unataka kufika mbali. Vifaa vya kisasa,teknolojia ya computer n.k . Bongo flavor walikubali na kutoka nje ya nchi kufanya production na watu wanaojua kazi.Nendeni nje ya nchi tafuteni producers wenye vifaa,elimu, na kujua kutumia teknolojia vizuri muwalete nchini tafuteni watunzi bora tumieni mazingira mazuri ya Tanzania tengenezeni vitu vizur mafanikio yatakuja. Siri ya mtungi ilifanyiwa production na wenzetu wazungu, itafuteni mfananishe na uchafu wenu wa part one na part two.
4. Masoko. Naomba niwaambieni dunia ya sasa msanii huwezi tegemea CD na kufanikiwa inaonesha jinsi gani hamfikirii kabisa. Hivi ukizuia machinga kuuza filamu za nje? Utamzuai kuburn na kuduplicate copy ya hizo cd zako?
Filamu sasa soko lake kubwa ni cable channels (kama Netflix) na Movie Theatre. kama we ni bongo movie unasoma hapa tafuta Netflix ni nini ujifunze.
Mlivyokaa na mkuu wa mkoa nilitegemea mtamwomba Bongo movie Theatres. Imagine kuna bongo Movies Theatres majiji tote makubwa nchini pamoja na miji mikubwa nchi jirani kama Nairobi, Kampala, Kigali n.k Then inaoneshwa filamu ya bongo yenye viwango vya kimataifa inaoneshwa huko. Mmeshajiuliza mtapiga mkwacha kiasi gani? Niliwahi kuwa na mzungu mmoja kila Siku anataka nimpeleke Movie Theatre ya filamu za kibongo lakini hamna. Kiswahili ni fursa kubwa ya Bongo movie kukitumia kupiga hela.
5. Wasanii.
Wasanii wa nchi hii ni tatizo kubwa na wana njaa iliyopitiliza. Mnafuata nini kwenye siasa nyie, hivi mnajua mna mashabiki wa vyama vyote. Unapovaa nguo za chama Fulani unajiulizaga umepoteza wateja milioni ngapi kutoka chama kingine?. Umewahi kumuona denzel Washington au will Smith amevaa nguo za chama? Acheni njaa.
Wewe kama msanii mwonekano wako ndio office yako unajitunza vipi. Mnakula mnajisahau mnanenepeana hovyo. Unaangalia bongo movie ni vitambi tuu vimejaa alafu mnalalamika movie za nje zinawaharibia soko. Jitambueni.
Swadakta mkuu, binafsi hua najiuliza sana lakin jibu nililipata muda tu kua elimu ni tatizo, niliwahi shiriki uandaaji wa movie moja nikawa naangalia jinsi wanavyo direct, nilikua nafiatilia sana mazungumzo ya characters. Nikagundua kasoro nyingi sana, nikawa namfahamisha mzee Masinde kua usitumi ststement hii sababu mtazamaji atashtukia jambo fulani au haitendani na maudhui, aisee nilijikuta mimi ndio director wa script nzima, kasoro kibao zinazomfanya mtazamaji mwerevu asipoteze muda kwa upuuzi.

Mzee Masinde alinishauri niingie kwenye sanaa, and he was write, alinambia kua sina elimu ya sanaa lakini elimu nilionayo inanifanya niwe na uwezo mkubwa wa kutambua vitu, alikuwa wazi kunambia kua bingo movie inahitaji wasomi sasa njooni mtusaidie.

Alinifanya nipate hamu ya kuanza kuandika sababu ni kipawa changu tangu nipo form 2. Niliandika story nikampelekea akaisoma akanambia sijawahi kuona hii kitu, alinambia haya ndio mabadiliko tunayohitaji, Mzee Masinde, Muhogo na wengine wanakubali kua bongo movie haijatendewa haki bado na wahusika hawapo tayari. Mzee Muhogo alinambiq hayupo tayari kufanya movie yake kwamaana hajaona bado kama kwa sasa anaweza fanya kitu anachofikiria kwa hali ikiyopo ya sanaa.

Wito; niwakati wa vijana wasomi wa kada tofauti wenye vipawa vya uandishi wa stori kujitokeza na kujitengenezea ajira. Mtu mwenye degree ya arts ana uwezo mkubwa wa kuingeza elimu yake upande wa sanaa akasaidia tasnia hii.

Nadhani ipo haja ya kuigeukia fursa hii, mm binafsi kwakua advance nilisoma vitabu vya fasihi na kuijua vizuri, nimejikuta nina uwezo mkubwa wa kuandika stori na ninafanya hivyo.
 
Wanazani wanatatua tatizo kumbe ndo wanajilipua,elekezeni nguvu kuboresha muvi za kibongo zingie kwenye ushindani sio kuandamana.By the way kizuri siku zote hujiuza na kibaya...
 
Back
Top Bottom