Kwa hili usihitaji malipo yoyote

Born Star

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
365
256
Kumsomesha mpenzi/girlfreand
usitegemee huyo unaye msomesha
atakuja kukulipa jema lolote

kama unamsomesha msomeshe tu ila usitegemee chochote na usitegemee utakuja kumuoa sahau

wanawake hawapendi watu wanao wajali sana wanapenda watu wanaowapeleka peleka hiyo ndio siri kubwa ya wanawake

USHAULI:somesha mkeo tena uliyezaa naye hapo utakuwa huna cha kupoteza hata akibadilika
 
Usifanye jema kwa kutegemea kupata kitu flani. Utoaji au usaidizi mzuri ni ule utoapo hautegemei kitu kutoka kwa ulie msaidie. Ila unakua umepanda mbengu, utalipwa kwa namna iliyo bora zaidi, ikiwa na kwa huyo huyo ama mtu mwingine.
 
Pole sana mkuu, Mchumba hasomeshwi isipokuwa msomeshe kama unamfanyia hisani tu ila siku akikucheat huko chuoni uchukulie poa tu.
 
Mkuu Pole, lazima kuna Jambo limekusukuma kufikia kutoa ushauri huu. Sio vibaya ukatusimulia kidogo ili tujifunze na sisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom