Maneno mawili KA na TA yalifanyiwa kazi?

WA UKAYE

Member
Sep 7, 2011
39
7
Wanandugu,nimekumbuka yale maneno mawili ya Mhehimiwa yaani KATA,

Vipi haya maneno yalifanikiwa kufanyiwa kazi upande wa Tanzania visiwani au yalipotea kama mengine yanavyopoteaga?

Nakumbuka pia yule mheshimiwa wa kule kama alitupa dongo fulani kwa uhakika kwamba haya maneno mawili hayatotekelezwa kwa upande wao kama busara zikitumika

Nimekumbuka baada ya kuona jinsi huku bara tunavokamuliwa na bili za umeme na kumbe wenzetu mambo yao yanakwenda “mdebwedo”
 
Nimecheka sana. Asante.
Ndio hivyo..sasa ukilazimisha tupate maneno mapya kwa kulazimisha yale ya zamani tuliyoyazoea, si tutapata maneno mengi zaidi mkuu yasioeleweka? Bora tuunde maneno mapya kwa hizo njia za kawaida tulizozoea
 
Back
Top Bottom