Kulikoni Muhimbili: Mgonjwa ajirusha kutoka ghorofani Mwaisela

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Hali ya taharuki imezuka ghafla katika viunga vya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya Mgonjwa mmoja mwenye miaka 25 amejeruhiwa baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza katika wodi ya Mwaisela

Uongozi wa hospitali hiyo umesema Mgonjwa huyo kwa sasa anafanyiwa vipimo kutokana na tukio hilo.

========

A male patient, 25, whose name could not be obtained immediately survived with injuries after jumping from a 1st floor of Mwaisela ward at Muhimbili National Hospital.

Officers are trying to establish why the man decided to through himself out of the window.

Speaking to reporters, MNH Director of communications and Public relations Department Aminiel Alighaisha said they have not established if the incident was mere accident of the man was trying to commit suicide.

But he confirmed that the incident took place on Tuesday morning at around 9.45am.

According to Mr Alighaisha, the victim survived with minor injuries on his head. He was then taken back to the ward for further diagnosis to establish if he had suffered internal injuries.

"He is in good condition, the doctors are still examining him to identify if he suffered from internal fracturing," he noted.

Mr Alighaisha recalled that it was the second time such an incident occur at the hospital, saying similar incident occurred five years ago.

Chanzo: Mwananchi
 
inanikumbusha ya Tunisia Mohammed bou-aziz kijana aliye jichoma moto kisa ukosefu wa ajira na kuzua machafuko ukanda wa North Africa naona vinakaribia TZ Historia tamu sana
 
Ila hakuwa na nia ya kujiua huyo labda matatizo ya akili, vinginevyo angepanda kule ghorofa ya nne.....
 
Unaweza kuta apo kakaa hospital miezi 3 bila matibabu wakati anaendelea kuteseka Kwa ugonjwa pia ela hana.
 
Back
Top Bottom