Ni wanaume wa Kenya tu..

255Gene

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
888
1,090
Habari za saa hii wanajamvi..

Kwa Tanzania huwa tunatumia huu useme wa "ni wanaume wa... Tu" ndo hufanya jambo fulani ama Tabia za mahala fulani..

Hivyo leo ningependa tuutumie usemi huu katika kuwadescribe wanaume wa Kenya.

Mimi naanza hivi, ni wanaume wa kenya tu hukubali kupokea
kipigo kwa wake zao ...


Karibuni..
 
Back
Top Bottom