Online statement za LAPF giza tupu

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,972
1,083
Salaam!

Nipenda kufahamu mwenye kujua vyema kuhusu ONLINE MEMBERS STATEMENT za mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF.

Nimejisajili hapa ili niweze kuwa natazama statement zangu pasipo kufika katika tawi lao lolote lakini kitu cha ajabu nikwamba hakuna taaarifa zozote kwa member baada ya kulogin hapa kwenye system yako.

Nimejikuta nikijiuliza ni kwamba wameshindwa weka hizo taarifa huko au wameikimbilia huku hawanau uwezo nao?

LAPF wakuje kutujuza nini shida wenye uzoefu wa hili swala pia isijea ikawa ni mimi tu mhanga kwa ishu hii ya kutoona statement yangu.

Karibuni Jamvini!
 

Attachments

  • LAPF PENSION FUND.PNG
    LAPF PENSION FUND.PNG
    14.9 KB · Views: 156
myself pia nimekutana na hiyo hali, labda ndio utaratibu wao kuficha hizo taarifa

Pole mkuu,

Basi jamaa ni wapuuzi sana maana nilifika ofini kwao kutaka fahamu mwenendo wa michango yangu wakasema system ipo chini ila nitazame kupitia website yao. Sasa katika website ndio hivyo tena, nimejaribu wasiliana nao naona kimya labda hadi nipate tena muda wakufika ofisini kwao!!!
 
Jamn hv ukikopa LAPF makato yao yanatoka wapi ? Naomba kujua kwa wenye uzoefu
Kama sikosei uwe umechangia si chini ya miaka 15 hivi...sina hakika kama kunamkopo pale pamoja na promo zao hizo za piga kitabu na blah blah
 
lapf kuna ubabaishaji wa ngaz ya degree...ni heri mifuko mingine kuliko huu. pumbafu kabisa
 
Kuna MTU alishawahi kukopa LAPF? au alishawahi kupata mkopo wa Elimu ? naomba atupe uzoefu naona kama wababaishaji sana
 
Back
Top Bottom