Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

Status
Not open for further replies.

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,783
5,288
Habari Wadau wa JF,

Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya gari yake yenye namba T 674 ADA, na dada mmoja ambaye inadaiwa nae ni mfanyakazi wa baraza la maaskofu.!

Padri Red.jpg

Padri Red2.jpg

MY TAKE.!
Nadhani Kanisa Katoliki lijitafakari upya na ifike mahali Mapadri waruhusiwe kuoa. Hakuna sababu ya kuendelea kumdanyanya Mungu kiasi hiki. Shame.!!

GM.jpg
 
Kanisa katoliki ktk kashfa nzito:padri afumaniwa live
Maana ya neno 'Catholic' ni universal, yaani -a ulimwengu. Sasa inashangaza padri mmoja anafumaniwa halafu title inasomeka "kanisa Katoliki". Yaani padri wa Tanzania ndio aliweke kanisa lililo na waumini zaidi ya bilioni moja ulimwenguni kote katika kashfa? Kanisa Katoliki si la mchungaji mmoja ambaye akipata kashfa kanisa zima linapata kashfa, na huwa halilei waovu. Ukiboronga unakaa pembeni wengine wanaendeleza gurudumu
 
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?

Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??

Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametoka nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.

Ni hayo tu kwa leo.

Mna vichwa vigumu sana nyie Wagalatia. Kila siku viongozi wanaowaongoza wamekua wakifanya maovu, mnashauriwa kwa nia njema mnaleta porojo. Shame on you.
 
Kuna mambo ya kushuta na kushangaa lakini sio hili,haya ni mambo ya kawaida sana kwa hili kanisa,mimi mwenyew kuna sister kaniganda sana nimeshamchakaza sana na nna mpango wa kuangalia sister mwingne pale parokian,hakuna padri asieduu kama kuna mtu anabisha alete ushahid ni padri yupi.
 
Jee huu si wakati kwa Kanisa kubadilika ? Katazo la Mapadri na wengine kukataliwa kufunga ndoa ni kwenda kinyume na maumbile ya mwanadamu.

Tumekua tukisikia kesi nyingi za kulawiti na kama hizi za aibu na hazitakoma kwani huwezi kwa mwanamme shababi kabisa kujizuia na matamanio ya mwanamke maisha wakati unashiba na nguvu unazo. Huku ni kujidanganya.

Kanisa lifanye mabadiliko liruhusu ndoa. Hili ndio jibu. Makanisa ambayo ya yanaruhusu ndoa hakuna matatizo haya isipokua Katoliki.
Badilikeni na haya maamuzi ya kutokuwa na ndoa. Bila ya shaka sio ya yesu ni kwenu wenyewe mlipokua mnajiundia sheria tofauti na amri 10.

BADILIKENI, FUNGENI NDOA.
 
Sasa hapo kanisa limechafuka au padre amechafuka?

Kwa.hyo namimi nikifumaniwa kanisa linachafuka?? unadhan huko mbinguni dhambi za mmoja zinaunganishwa na wengine?? Kila mtu anavuna anachopanda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom