Ni kipi kinakufanya ucheke?

einstein newton

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,969
2,674
Wadau,

Kuna psychologist yoyote humu ndani,anayeweza kutwambia kicheko kinasababishwa na nini haswa

Au yoyote mwenye Idea?

Manake,mda huu nimejikuta nacheka ka mtoto kwa sababu ya kijinga tu

Nimecheka baada ya kusoma hii kitu;



MINISTER FAITH MITHAMBI

Mithambi said in a statements,

"We don't want to control the internet"

Bwahahahaha!hahaha!ha

We don't whaaaaat?
Hahahaha!haha

Control....hahahaha!control?
The ANC can control hohoho!

Bwahahahahaha!hahaha!haha"


Ndo hicho kilichonichekesha,lakini nivyoirudia mara ya nne sikucheka tena

Kwani kinachekesha au mimi tu?

Karibuni wajuzi!
 
ImageUploadedByJamiiForums1456682976.299982.jpg

Mweeh!
 
Back
Top Bottom