Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hivi ni mimi tu au tupo wengi katika hili..?? Kiukweli huyu jamaa ni muda mrefu sasa mimi binafsi sijamsikia aisee, na nimeamini kwamba vyombo vya habar vina nguvu sana.
Vinaweza kutumika kama daraja la kufikia matarajio yako, na on the other side, vinaweza kuisaidia jamii kukusahau kabisa. Naliona hili kwa Bashite. Kiukweli sijamsikia wala kumuona kwenye media SIKU NYINGI...!!!!