Wamemuua Mbwa wangu, Nilipizeje?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
567
Hbr Wana Jf.

Naomba Ushauri Jinsi Ya Kuepuka Visasi Wanadamu Wananishawishi Kwa Kasi Sana Nilipe Kisasi Baada Ya Kumuua Mbwa Wangu Wa Sita Mfululizo Walimvunja Kiuno Nikamtibu Sasa Wamemuua Alipokuwa Anapata Tiba Veterinary.
 
wafikishe kwenye vyombo vya dora, Tafuta mwanasheria ukatafute vifungu vitakavyokuwezesha kumtia mmoja jela miaka ya kutosha kulingana Na ukatili huo.

Hap sio kisasi, Utakuwa umetimiza msemo wa Great Thinkers wa kale "Asiyefunzwa na ***** Hufunzwa na Ulimwengu"
 
Aliuliwa hapo clinic au? Na hao wengine watano waliuliwa usiku au mchana na kwa njia zipi? Tatizo nchi yetu haina forensic detective ungewapata wauaji kwa muda mfupi. Kama una uhakika 100% waendee pamoja na group yako ambayo unaiamini ya wazee wenye hekima na vile vile jiandae kwa vingine ila hakikisha unapata majibu na kulipwa gharama ingawa uhai hauna gharama.
 
Back
Top Bottom