mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,254
Nashangaa sana namna ambavyo waafrika/tz tumekua Mashabiki wa Vita za maneno kati ya nchi Hizi Mbili Marekani na Korea Kaskazini bila Kuangalia Madhara yatakayotokea endapo Vita Hivyo Vitaibuka.
Kila nikiitazama Syria ,Sitamani na kamwe siwezi kulifurahia neno VITA.
Nikitazama Vilio Vilivyoachwa kwa Familia za Watu Wa Heroshima na Nagasaki... Hakika inanipelekea Kulaani kabisa kitu kinaitwa Vita , Hususani Vita hivi Vya Kikemikali.
Nimeweka Thread hii kuwauliza Watanzania wenzangu , labda mm sijui kinachoshabikiwa , Je mnaweza kunieleza ni nn hasa kinawavutia Juu ya Hii Vita , na ni kwa namna Gani Afrika/ Tanzania Tunaweza Kunufaika baada ya Watu Kutupiana Kemikali ?
Na kama matokea Hasi yanaweza kuyazidi Matokoe Chanya , basi ni vyema tukafunga na Kuomba haya yasitokee kwa wenzetu.
Na kama hatujui lolote ni kwann basi tunashabikia ?
Sioni haja ya kuwa Mashabiko wa hivi Vitu kama Vile tuanshabikia Fainali za Mpira wa Miguu kati ya Arsenal Vs Chelsea.
Imefika mahala mpaka sasa watu wanaweka Profile picture za Viongozi wa nchi Hizo wakibishana nani zaidi.
Ninachoelewa Hizi Nchi zina siri kubwa sana katika Mambo yao Kijeshi., Technologia Imekua mara dufu kulinganisha na Miaka 100 iliyopita, Tusidhani Jambo hili litakua Lepesi kama tunavyofikiri , Tuwe na Uchungu na Binadamu , maswala ya Ushabiki Uchwara si Jambo sahihi.
Naomba kuwasilisha.