kama week moja ivi iliyopita nilipanda miti lakini leo ile miti nimekuta watu wameng'oa wameondoka nayo.
ila siwezi kusema wameniibia kwasababu hiyo miti huko iliko enda itaendelea kukua. na...
Najua humu ndipo mahali sahihi kabisa pa kuongelea haya
Leo ni siku ya wafanyakazi na kitaifa katika nchi yetu inafanyika mkoa wa Kilimanjaro,
na mgeni rasmi atakuwa rais wa Jamhuri ya Muungano...
Tahadhari kwa wauza maduka :shilingi mia tano na sh 10 za Tanzania zinafanana sana.
Habari za mchana... Nimeona ni muhimu kuwatahadharisha watanzania na hasa wauza maduka...kwamba sasa hivi...
baada ya mwaka jana juni 13 kusisitishwa kwa ajira, stahiki za watumishi n.k kwa kigezo cha uhakiki ambao according to that waraka mambo hayo yalisimamishwa kwa miezi miwili tu...! yaani kuanzia...
Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya...
Binafsi apa Ubungo jimboni kwangu Kubenea alipata ushindi kabambe katika jimbo hili.
Wengi walitegemea Mengi kutoka kwa mbunge huyu. Ila sasa hivi sijui kakimbilia wapi. Jamaa haonekani ata kuwapa...
Hello JF,
Leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel online kwasababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto. Mitihani ndio ifanywe kwenye examination centres...
Ndugu wanajamvi,
Kwanza naomba niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya wafanyakazi, najaribu kutafakari kauli ya serikali ambayo mkuu wa kaya anaiongelea kila anapohutubia kuwa mwaka huu serikali...
Habari wanajamii
Naomba ushauri wa kiroho au kisaikolojia kuna masuala yananitokea sielewi namna gani kuyakabili
Kwa kifupi ni hivi, kuna baadhi ya nyakati huwa natokewa hali ambayo inaweza kuwa...
Kisa cha Mwerevu
Siku moja ndege ndogo ilikodiwa na watu wanne Daktari, Mwanasheria, Mwalimu na mtoto mmoja. Katikati ya safari ndege ikapata itilafu hivyo rubani akawarushia abiria wake...
Huyu katibu wa TUCTA anaongea maneno mengii na anasahau maswala ya msingi kabisa.Swala la makato ya 15% kutoka 8% kinyume na mikataba waliongia wadaiwa na bodi.Nadhani leo ndio ilikua mahala pake...
Kuna wanasheria Nguli nchini wanajulikana kwa umahiri wao wa kupangua na kujenga hoja na wameshiriki katika kutetea wahalifu wengi wa kisiasa ambao kwa sheria hii waliitwa wachochezi, kwa makosa...
Wasalaaam ndugu! Swala la madawa ndio limeisha kiaina lakini kuna watu wametia jitihada kulififisha, Likabandikwa la vyeti vya Bashite nasi tukalikomalia hadi sasa,HOJA YANGU; Mara kadhaaa...
Tusaidiane katika hili, kisheria inakuwaje haswa katika taasisi binafsi unapopangwa kituo cha kazi ambacho kiko mbali na mhusika aliyepangwa halafu hapewi hela ya kujikimu wala nauli, je sheria...
Mmmmhhh kwa hotuba hii sioni dalili ya neno la matumaini...ngoja niendelee kungoja, Mungu saidia asianze kushukuru kabla ya kutaja kale ka neno ka matumaini...
Fikra Nimezipenda
Ni kawaida kuona meli iko kwenye maji lakini ni hatari kuona maji kwenye meli.. kuwa wewe kwenye moyo wa dunia na wala usiiweke dunia kwenye moyo wako
Kama siku ukipata...
Salaam wanabodi,
Kwa wale mlioko Zanzibar naomba mnisaidie kuhusu hizi station za dar,nyie mnazipata?radio one,clouds,uhuru fm na hata radio Tanzania,mie sipati kabisa ni nusu mwaka tena.
Wow:
“A wise old man was sitting at the river bank when he saw a cat that had fallen into the water, flailing around, trying to save itself from drowning.
The man decided to save the cat. He...
Hi,
Jamani pesa zangu zimepotea kwa mazingira ya kutatanisha nifanyaje naombeni msaada? Najua mshana Jr, Mzizi mkavu na wengineo wataalamu wa mambo haya mtanisaidia.
Ninataka kazi ambazo ninaweza kuwashauri wadogo zangu au marafiki waliopo Tanzania waweze kuweka malengo yao katika maisha,
Kazi hizo ziwe na uwiano mzuri kati ya kipato na ubora wa maisha yani...