Omari Makoo
Member
- Sep 6, 2016
- 78
- 39
Kisa cha Mwerevu
Siku moja ndege ndogo ilikodiwa na watu wanne Daktari, Mwanasheria, Mwalimu na mtoto mmoja. Katikati ya safari ndege ikapata itilafu hivyo rubani akawarushia abiria wake ma-parachute matatu na kuwaambia BASI MWEREVU NA AJIKOMBOE KATIKA KIFO HIKI. Maparachute yote matatu yakadakwa na wakubwa huku yule mtoto akikosa. Na kila mkubwa akaongea maneno yatakayomfanya aonekane mwema hata baada ya yule mtoto kukosa parachute.
Daktari: Jamani mimi ni muhimu sana katika jamii maana ndio mtatuzi wa afya zao kisha akajirusha nje na kufyatua parachute. Mwanasheriapasina mimi haiwi mahakama bali ni majengo tu, nahitajika sana katika kesi za watu, hivyo sitakiwi kufa sasa, nae akaruka na parachute.
Mwalimu: Akamtazama yule mtoto kisha akatabasamu.
Mimi ni MWEREVU kijana, nimeyaona mengi ya dunia yenye kuchukiza na kufurahisha hivyo nadhani ni wakati wako kijana nawe kutimiza ndoto zako, akampa parachute yule mtoto kisha akamwambia ruka na ujiokoe.
Mtoto: Huku akitabasamu akamwambia MWEREVU ZAIDI hutembea na parachute kila apandapo ndege, mtoto akatoa parachute kwenye begi yake kisha kujitupa na kuokoa maisha yake.
KWAKO WEWE YUPI MWEREVU ZAIDI?