Tafadhali igeni mfano wangu katika suala la upandaji wa miti

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,315
2,000
kama week moja ivi iliyopita nilipanda miti lakini leo ile miti nimekuta watu wameng'oa wameondoka nayo.

ila siwezi kusema wameniibia kwasababu hiyo miti huko iliko enda itaendelea kukua. na kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi.

na nimegundua watu wengi wanapenda kupanda miti. ila sijajua ni nini kinawakwamisha. hadi akiona mtu amepanda miti ndio anakumbuka kwamba duniani kuna kupanda miti.

lakini saizi nimekuja na akili mpya na sijakata tamaa na ninataka kuwasaidia wale wote wanao itakia dunia mema na wanao taka dunia iendelee kuwepo naanza kwanza na mtaa wangu.

mwishoni wa week hii nataka ninunue miti 100. ktk hiyo miti 100 mm nitachukua miti minne tu. hiyo mingine itakayo baki nitaipeleka kwa balozi awagawie wananchi wake wapande.

dini ya kiislam wao wanaamini ukipanda miti unabarikiwa.
 
MUGHOMBA

Senior Member
Oct 12, 2013
114
195

Wazo Zuri hongera
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,163
2,000
Nisiongee sana.
Hiko kitu fanya haraka sana mkuu, dunia inataka watu kama wewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom