TUCTA wasahau kuongelea makato 15%

kalanga

Member
Feb 2, 2011
79
69
Huyu katibu wa TUCTA anaongea maneno mengii na anasahau maswala ya msingi kabisa.Swala la makato ya 15% kutoka 8% kinyume na mikataba waliongia wadaiwa na bodi.Nadhani leo ndio ilikua mahala pake pakuliongelea.
 
Umesahau wk ileeee hawa jamaa waliitwa ikulu... Hv mnadhan walienda kuambiwa nn labda???
Hawa jamaa walishapangiwa cha kuongea na kipara na walishachimbwa biti hakuna kuuliza maswali magumu
 
Aliwaandalia maswali na majibu.
 
Umesahau wk ileeee hawa jamaa waliitwa ikulu... Hv mnadhan walienda kuambiwa nn labda???
Hawa jamaa walishapangiwa cha kuongea na kipara na walishachimbwa biti hakuna kuuliza maswali magumu

....Nimeshangaa mukulu leo amewasifia sanaa, hivi kuna anayejua wameshafanikisha nini so far mpaka kusifiwa hivyo??
 
Back
Top Bottom