KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,517
- 2,808
Binafsi apa Ubungo jimboni kwangu Kubenea alipata ushindi kabambe katika jimbo hili.
Wengi walitegemea Mengi kutoka kwa mbunge huyu. Ila sasa hivi sijui kakimbilia wapi. Jamaa haonekani ata kuwapa wananchi wake kile alichoahidi.
Mara ya mwisho kumsikia akifanya jambo la maana ni kuitembelea Hospitali ya Palestina
Najua walipita wengi lakini kibaya wanajisahau
Hii inapelekea wengi kuanza kupinga mazuri yanayofanywa na Raisi
Sipondi wabunge wa CHADEMA ila ni kuwa sioni jipya