Hizi radio vipi huku visiwani?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,304
Salaam wanabodi,
Kwa wale mlioko Zanzibar naomba mnisaidie kuhusu hizi station za dar,nyie mnazipata?radio one,clouds,uhuru fm na hata radio Tanzania,mie sipati kabisa ni nusu mwaka tena.
 
Back
Top Bottom