Kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel online

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,618
Reaction score
33,475
Hello JF,

Leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel online kwasababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto. Mitihani ndio ifanywe kwenye examination centres maalumu.

Hii hata waliofukuzwa wanaweza kuji upgrade home i think tuko kwenye muda wa teknolojia, lazima tu keep up with the pace. Nina uhakika, tutavuka step moja mbele as more than a half of Tanzanians, now have access to internet.
 
Kuvumilia umande kunasaidia kuepuka aibu ya kujichanganya na vitoto.

Anyway nionavyo kwa masomo hasa ya Advance kusoma online ni kupoteza muda tu. Lazima usome na udiscuss na hao watoto ili usije ukazungusha.

Unless unasoma Vishazi, viima na viarifu na sio Mechanics, Kekule structure au chromomoses and cell division
 
mkuu unasoma,yakikushinda unatafuta private tuition,utazungushaje wakati materials yapo kibao,online?
 
Hello JF,

leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel ONLINE............

kwa sababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto....

mitihani ndio ifanywe kwenye examination centres maalumu,

hii hata waliofukuzwa,wanaweza kuji upgrade home,

i think tuko kwenye muda wa teknolojia,lazima tu keep up with the pace.

nina uhakika,tutavuka step moja mbele as more than a half of Tanzanians,now have access to internet.
So gud try to do that you can winner
 
mkuu unasoma,yakikushinda unatafuta private tuition,utazungushaje wakati materials yapo kibao,online?
Wewe naona huelewi vizuri Physics au Chemistry ya A LEVEL forget about private tution inahitaji watu wengi wenye uelewa tofauti hutakaa upate competent tuition unless utafute tuition kama tano hivi[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]

Science kwa nijuavyo huwezi soma online ukafaulu na rudia tena haiwezekani hibi una drive vepe projector au mambo ya nand gate and gate sijui maelectrostatic online Uta BASHITE tu mwisho wa siku
 
search A LEVEL Chemistry,pia hujui changamoto za watu walikua out of education for a while(watu wazima)...........labda practical,ila theory watu wanasoma sana tu....
 
Changamoto ni kweli zipo ndugu yangu BUTScience theory ????? Kwamba inasomeka ?? Kirahisi tu??? anyway ngoja nikaushe

Coz u knw nothing concerning science! Ila kwa aliyepita yeyote he knows how complex Chemistry tena hiyo theory is saa ingine hata mwalimu anakwambia mimi mwenyewe sielewi
 
mmmnh kwa nini ukaushe?JF ni jukwaa huru,kipi unachokiona kigumu?vyuo viko kibao ONLINE mkuu,sikushangai unaonekana hili kwako ni jambo jipya,utalizoea na kuliona lina manufaa mbeleni huko.....lool
 
Kuvumilia umande kunasaidia kuepuka aibu ya kujichanganya na vitoto.

Anyway nionavyo kwa masomo hasa ya Advance kusoma online ni kupoteza muda tu. Lazima usome na udiscuss na hao watoto ili usije ukazungusha.

Unless unasoma Vishazi, viima na viarifu na sio Mechanics, Kekule structure au chromomoses and cell division
Hujui kishazi kinamfanya mtu kuwa profesa na ndo tulionao wengi

Anyway umenichekesha sana
 
Hello JF,

leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel ONLINE............

kwa sababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto....

mitihani ndio ifanywe kwenye examination centres maalumu,

hii hata waliofukuzwa,wanaweza kuji upgrade home,

i think tuko kwenye muda wa teknolojia,lazima tu keep up with the pace.

nina uhakika,tutavuka step moja mbele as more than a half of Tanzanians,now have access to internet.
kamata fursa twenzetu in god we trust.....
 
Idea nzuri hiyo na watu tuliobobea vizuri katika sayansi na masomo ya sayansi tupo na tuna uwezo wa kufanikisha hayo lakini sasa je waTanzania watakuwa tayari kutusapoti maanake itahitaji Fees ku Learn Online Kama watu wapo tayari Tunaweza kuanzisha Darasa Hata La Sayansi Hapa JF then Tunapiga Shule Kama Kawaidaa
 
Mkuu mama Ndalichako akiliafiki hili jambo,then atatafuta njia ya kuregulate,syllabus iwe inayojitosheleza na kama ni fees,wanafunzi watalipa wenyewe,lol,hii ya kuwafukuza wafanyakazi waliokua na vyeti hewa,inaawacha wafanyakazi wakiwa wamekata tama wafanye nini?? waanzie wapi,?tukiwa na mfumo wa kusoma online,wengi wakipata nafasi ya kusoma then tutakuwa na educated workforce,ambayo ni vizuri kwa maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom