CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
baada ya mwaka jana juni 13 kusisitishwa kwa ajira, stahiki za watumishi n.k kwa kigezo cha uhakiki ambao according to that waraka mambo hayo yalisimamishwa kwa miezi miwili tu...! yaani kuanzia juni hadi leo hii ninapoandika!
kwakuwa tunaenda kwenye mei mosi na kule zanzibar mwezi huu ndio ile nyongeza ya 100% huku bara tutegemee haya..
1.Bado kuna watumishi hewa wapo wameng'ang'ania kwahiyo serikali imeongeza nguvu kuwatoa hao na baada ya hapo stahiki za watumishi zitarejea kama kawaida.
2. bodi ya mishahara itaundwa "hivi karibuni" na mara baada ya hapo serikali itaweka hali ya usawa kwa watumishi wake.
3.serikali itaendelea na zoezi la kununua ndege ili kuinua uchumi ikiwemo maisha mazuri kwa wafanyakazi.. hivyo tuendelee kuiamini serikali...
4.kodi itashushwa zaidi ili kumfanya mfanyakazi asiwe na mzigo mkubwa...
na mengine mengi ..