johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,307
Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya maonyesho yameshindwa kuingia uwanjani na hii ni aibu ya kihistoria.Wachaga jengeni uwanja bhana au tuwaazime ule wa majimaji Songea?!