Lutsala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 547
- 223
Wasalaaam ndugu! Swala la madawa ndio limeisha kiaina lakini kuna watu wametia jitihada kulififisha, Likabandikwa la vyeti vya Bashite nasi tukalikomalia hadi sasa,HOJA YANGU; Mara kadhaaa kumekuwa na imani kuwa kunapokuwa na jambo Fulani gumu serikali huwa inatafuta agenda mbadala kuwapoteza wananchi,sasa je nani alituhamisha toka vita madawa ambayo yanaumiza vijana wengi hadi kwa bashite?