nyongeza ya mishahara na madaraja

jina baya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
573
377
Najua humu ndipo mahali sahihi kabisa pa kuongelea haya

Leo ni siku ya wafanyakazi na kitaifa katika nchi yetu inafanyika mkoa wa Kilimanjaro,

na mgeni rasmi atakuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo basi naamini atakuwa amejiandaa kikamilifu kujibu mambo kadhaa ya msingi ya wafanyakazi ikiwemo
(1)Nyongeza ya mishahara ambayo katika mikataba ya ajira inakuwa 1st july na maelezo ya nyongeza isiyolipwa ya mwaka jana
(2)maelezo ya kutosha kuhusu kupanda madaraja

kauli mbiu yangu ambayo ni tofauti na watanzania wengine wote ni
''kama wewe ni mtanzania na unapokea milioni 8, kuna watanzania wenzako wanapokea laki''
 
ajenda kuu leo.
1.tumefukuza wafanyakazi zaidi ya elfu nane (wenye vyeti vya kugushi)
2.nafasi zao kujazwa katika mwaka ujao wa fedha
3.tumeteua bodi ya kima cha chini cha mshahara
4.wafanya kazi pigeni kazi kwani hapa kazi tuu

kuhusu nyongeza na madaraja aaah mmm! ngoja tusubiri atasema nini
 
ndo hivyo usitegemee usawa hata mara moja hapa duniani ndo mana huyo anayepokea milioni 8 huenda hana nguvu za kiume ila anayepokea laki 1 anafanya vurugu balaa mtaani kwao!
MAISHA HAYANA USAWA HATA KIDOGO
here job only!
 
Back
Top Bottom