Kwa hotuba hii

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,051
5,094
Mmmmhhh kwa hotuba hii sioni dalili ya neno la matumaini...ngoja niendelee kungoja, Mungu saidia asianze kushukuru kabla ya kutaja kale ka neno ka matumaini...
 
Hivi unategemea lolote toka hapo, it seems watu hamjamuelewa huyu mtu, sisi tunamuelewa toka Ujenzi, kitoweo na si kwenye urais , urais ni muendelezo na rungu la kuonyesha uhalisia at top level!
 
Kaa ulipo na uvivu wako, unataka Raisi aje agonge hodi ulipo kukupa yote?

Piga kazi acha kulalamika.

Wa madeni ya kusoma walipe tu hamna namna.
 
Hizo Punguzo za Kodi za elfu mbili hadi tatu bora asipunguze tu,Ugomvi wa JK na EL umeliamsha DUDE na linatutafuna.
 
Kaa ulipo na uvivu wako, unataka Raisi aje agonge hodi ulipo kukupa yote?

Piga kazi acha kulalamika.

Wa madeni ya kusoma walipe tu hamna namna.
Dada jambo uclolijua ni kwamba mimi ni mshabiki mkubwa sana wa Magu lkn kama mtumishi wa umma natamani sana increment ktk pato langu kama haki yangu ya msingi, kama kazi napiga haswa
 
Ok sawa, ila hili jambo sinla ajabu duniani. Kuwa mvumilivu na siku hiyo itakuja
Raisi kaelezea vizuri tu mengi. Kuna nchi wafanyakazi walikaa hata miaka 2 or 3 or zaidi bila nyongeza ili serikali zao ziweke mambo sawa.
 
Sikua na maana kuwa napingana na Rais na uzi huu niliandika kabla hata hajagusia wala kufika kusemea maslah ya watumishi, chamsingi tumuunge mkono huyu mzee, personally nakiri kuwa ni mmoja ya watu niliokuwa napenda kumpata rais aina ya Magu na nikiwa chuoni enzi hizo nikawa nawaambia wenzangu pale Mdigree kuwa kwa tulipofika kama Taifa tunahitaji Raid Dikteta lkn awe mzalendo wakanipinga sana lkn miaka kama miwili baadae tukampata Magu
 
Dada jambo uclolijua ni kwamba mimi ni mshabiki mkubwa sana wa Magu lkn kama mtumishi wa umma natamani sana increment ktk pato langu kama haki yangu ya msingi, kama kazi napiga haswa
Kama ni mtumishi hukuongezewa mshahara tangu mwaka 2015 na bado unamshabikia Mkulu kwa kuangiza ulipwe increment ambayo ni haki yako ya kisheria kuongezewa kila mwaka, unanipa mashaka sana kama unazijua haki zako au unatania tu wewe si mfanyakazi. Ukiona mtu unayeshindana nae anakusifia ujue ameshajua udhaifu wako.
 
Back
Top Bottom