Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii. kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Taarifa kutoka Arusha inasema Mwanajeshi mmoja wa JWTZ amechomwa kisu na vibaka walioiba simu alipoingilia kati kuiokoa hiyo simu iliyoibiwa huko Matejoo Arusha na hao hao vibaka. Alikuwa...
11 Reactions
192 Replies
28K Views
Jamani samahanini naihitaji kufahamu majina ya hivyo viwanda, Sehemu vilipo na vinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa gani ili na mimi nipeleke maombi..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TSNP: TUTAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAANDAAJI WA MISS TZ. Kurugenzi ya sheria ya TSNP (Tanzania Students Networking Program/Mtandao wa Wanafunzi Tanzania), imepokea malalamiko kutoka kwa walimbwende...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nikiwa nimempeleka bibi hosptali ya Rufaa hapa Iringa Mjini Mida ya SAA mbili Asubuhi tukiwa kwenye foleni ya kumuona Daktari alikuja mama akiwa amevaa niqab 'kimtaani tunaita kininja" naye...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Tabia inayoendelea ya Vijana wetu kufurahia kwa kumwagiana maji machafu, matope, kuchapana bakora au kupigana na viatu kwenye tarehe ya siku zao za kuzaliwa (Birthday) ni tabia inayopaswa...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?. Huyu mzee amekwenda...
23 Reactions
160 Replies
15K Views
Mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya pwani za Bahari ya Hindi zimetuletea gharika nchini Zanzibar, ambako makaazi ya watu, miundombinu ya usafiri na majengo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali kupitia jeshi la polisi sasa imepitisha azimio kwa majeruhi wote kutibiwa bila pf3,ambapo hapo kabla majeruhi walitakiwa kuwa na form ya pf3 ili waweze kupata matibabu, lakini kupitia...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari jamvini. Mimi nikiwa member wa jf toka 2013, nilikuwa nafatilia mambo mengi humu toka kwa watu mbalimbali, kwakweli nimepata faida ya kujifunza mambo mengi sana ikiwemo hekima na staha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Saidi Rajabu Saidi leo amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela na mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na mafuta ya Simba yenye thamani ya Sh. 10,711,400...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Niliwahi leta hii mada ambayo ni kama wazo(theory) ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona nilikuwa sahihi kabisa. Nimejikuta nawaza hivi kuhusu uumbaji Kwa haya yanayoendelea nafikiri sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Oparesheni ya ukaguzi wa magari ya wanafunzi yaanza Dar. Magari 56 yamefungiwa.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mmiliki wa Shule, Meya wa jiji la Arusha pamoja na waandishi wa habari 10 wamefikishwa kituo cha polisi (Central) kwa kufanya mkusanyiko bila kibali ndani ya shule ya Lucky Vicent. Kutoka Arusha...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Kuna Majina yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na inasemenekana ni ya askari polisi. Mwenye ukweli wa habari hizi anijuze.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kweli ndivyo mlivyokuwa mna ahidi..Je mlitekeleza hiz Ahadi?
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Naomba kujua ni benki gani wanatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma kwa sasa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kupongeza na kuunga mkono juhudi za serikali kuhakiki vyeti feki. Ni kazi kubwa na nzuri sana imefanyika sasa naomba basi upanuliwe wigo wa uhakiki. Naipongeza sana serikali ya JPM lakini...
5 Reactions
92 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…