bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii.
kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza silaha za nyuklia kama amepigwa marufuku kutengeneza na bado akatengeneza hata kuziuza kwa mataifa mengine anaweza pia.
Hizi ni kati ya silaha hatari duniani na zenye uharibifu mkubwa sana anzia kwa uhai wa viumbe hai mpaka mazingira.
Ni Muhimu sana kuhakikisha Korea Kaskazini anadhibitiwa kutengeneza silaha hizi kwa njia rahisi tu ya kidiplomasia.