salaam wadau
Katika mizunguuko yangu wiki ilioyopita nilipita nchini zimbabwe kumjulia hali rafiki yangu,
Nilipofika pale nilikaa kama siku 15 mwishoni mwa juma akaniambia tupite kwenye gereza...
Hakuna ubishi kuwa RFA na Star TV walikuwa wazuri sana katika vipindi vya kusoma magazeti, lakini sasa ni utumbo tu kwani nisikiapo RFA sasa hata maoni ya wahariri hawasomi.
Ugolo mtupu.
Kwa mara ya kwanza nchi yetu kuongozwa na wasomi katika nafasi nyeti kwa hiyo tunaamini kabisa na pasipo mashaka juu yenu mwaka 2020 tukijifanyia tathimini tuone out put kubwa katika kila eneo la...
Wana jf,mimi nilinunua egg incubator kwenye mtandao wa manunuzi online (alibaba). Changamoto imejitokeza kwa supplier anasema ameshindwa kuichukua pesa yake kwa hyo akaniomba ni cancel order ili...
BAKWATA kirefu chake ni Baraza kuu la waislam Tanzania, kwakweli mpaka sasa hatujui ni waislam gani wanaowakilishwa na taasisi yetu hii,ni swali lililokosa jibu muda mrefu.Sasa viongozi kazi yake...
Habari wanajamii, leo alienda mtu nilimuagiza akakamilishe usajili niweze kupata leseni ya biashara niweze kuanza kazi kwani nimeshakodi fremu.
Nimepeleka picha ,mkataba wa pango, fomu niliojaza...
Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake.
Humjaza mtu...
Hakika ni muongo mmoja uliosheheni maajabu maajabu na maajabu.Ni vioja.
Arsenal na Simba bado wanahaha miaka kadhaa ya ukame wa kukosa ubingwa, Marekani bado inahaha kutuliza ghasia walizoziibua...
Makengeza ni aina ya ulemavu wa macho ambao mwenye hilo tatizo akitaka kuangalia mbele ni lazima ageuke kidogo kushoto ama kulia ndio anaweza kuona anachotaka kuona
Kwenye mikabala ya kugundisha...
SIKU moja baada ya kuuawa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, Amedeus Malenge, watu wanaodaiwa kuhusika na tukio hilo wametiwa mbaroni.
Watuhumiwa hao walikamatwa usiku wa kuamkia...
Nimeupenda huu ujumbe nami ngoja niwashirikishe
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
LEAVE CATHOLICS ALONE !!!!!
Am not a catholic neither is there anything that will...
Unajiunga halichachi dakika 25 for 1,000 Tsh. Hupati dakika 25 . Zinaisha kwa less than 25 minutes. Sijui mitambo wameiset vipi kufanya wizi wa namna hiyo!TCRA make a folow up of this theft!
Habarini Wakuu
.
Ndugu vijana wenzangu muishio maeneo ya mijini hasa hapa Dar
kwa wale wenzangu na mimi tunaotumia usafiri wa Umma (Daladala)
.
kutokana na hali ya usafiri kuwa mgumu kuna wakati...
Miongoni mwa vijana wengi tupo kwenye umasikini hata kama tumeajiriwa au kujiajiri mfano mtu ni mtumishi lakini hata kula kwa mawazo
viashiria vya umasikini ni
mshahara haukutani kwa baadhi ya...
Nimekuwa nikifuatilia sana Product(bidhaa) zinazotolewa na mtandao huu ni za kipekee kwakweli na wengi wao wamekuwa wakifuatia kwakukopi kinacholetwa na tigo japo sidhani kama wanafanikiwa.
Pia...
Korea ya Kaskazini Imepitiliza sasa kwa ukaidi sidhani kama kuna mpenda Amani yoyote atayafurahia yanayofanywa na nchi hii.
kwanini amekua kinganganizi sana katika suala hili la kutengeneza...