Wasomi wetu msituangushe, 2020 tukijifanyia tathimini tuone output kubwa kila eneo nchini

BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
422
510
Kwa mara ya kwanza nchi yetu kuongozwa na wasomi katika nafasi nyeti kwa hiyo tunaamini kabisa na pasipo mashaka juu yenu mwaka 2020 tukijifanyia tathimini tuone out put kubwa katika kila eneo la nchi yetu.

Asante rais wetu kwa kukubali kulitumikia taifa!
 
Piga kazi tafuta hela ujenge maisha yako mkuu, siasa ni kazi tu kama ilivyo kwa kazi nyingine. Usiamini wanasiasa
 
Back
Top Bottom