Wana jf,mimi nilinunua egg incubator kwenye mtandao wa manunuzi online (alibaba). Changamoto imejitokeza kwa supplier anasema ameshindwa kuichukua pesa yake kwa hyo akaniomba ni cancel order ili pesa yangu irudi halaf nilipe kwa njia ya western union.
Hayo malipo nilifanya kupitia bank.sasa nilitaka msaada kwa mwana jf ambae ameshawah ku experience hii kitu?inachukua muda gn pesa kurudishwa? Na je inarudishwa kwenye account yangu maana nililipa kwa njia ya bank? Au inarudishwa kwwnye bank niliyolipia?mwenye uzoefu anisaidie tafadhali