Mkuu, kwani mpaka sasa pana tofauti ya mauzo? Mfano mie nishaacha kununua hayo magazeti miaka miwili sasa na siwazii kununua hata kama sijasikia radioni au kwenye TV.Wamepewa onyo na waziri mropokaki Mwakyembe kawaambie wasome vichwa vya habari tu ili magazeti yauzwe na wadau!
Hata mimi nilikuwa sikosi hicho kipindi. Ila sasa mmmm. Najua wanatekeleza agizo la serekali so siwalaumu wala siilaumu serekali. Nia ni njema.Hakuna ubishi kuwa RFA na Star TV walikuwa wazuri sana katika vipindi vya kusoma magazeti, lakini sasa ni utumbo tu kwani nisikiapo RFA sasa hata maoni ya wahariri hawasomi.
Ugolo mtupu.
Radio maria saa mbili kamili asubuhi lakini baada ya onyo la waziri nao wamekuwa kama star tv tu, maana wanasoma kichwa cha habari basi, hata maoni ya muhariri hayasomwi, tulaumu kuiweka ccm madarakani maana haya ndio mavuno hawajali kabisa hisia za wananchi.Saa ngapi mkuu?
Kwani waziri alitoa tamko kama sheria au kama maoni yake? Staili hii wanayo ITV.Radio maria saa mbili kamili asubuhi lakini baada ya onyo la waziri nao wamekuwa kama star tv tu, maana wanasoma kichwa cha habari basi, hata maoni ya muhariri hayasomwi, tulaumu kuiweka ccm madarakani maana haya ndio mavuno hawajali kabisa hisia za wananchi.
Umelazimishwa kusikiliza/ kuangalia?? Acha umburula!Hakuna ubishi kuwa RFA na Star TV walikuwa wazuri sana katika vipindi vya kusoma magazeti, lakini sasa ni utumbo tu kwani nisikiapo RFA sasa hata maoni ya wahariri hawasomi.
Ugolo mtupu.
Yani hv sasa mvuto gaupo kabisaHakuna ubishi kuwa RFA na Star TV walikuwa wazuri sana katika vipindi vya kusoma magazeti, lakini sasa ni utumbo tu kwani nisikiapo RFA sasa hata maoni ya wahariri hawasomi.
Ugolo mtupu.
Ukiona hawana mvito badilisha au radio yako ina station mojaWasikilize kesho asubuhi utaona tofauti.
Sihusiki, ila nashangaa mtu unalalamikia kitu wakati hamna aliyekushikia pisto kichwani kuwa usipoangalia anafyatua ubongo!Pole kama nimekugusa/unahusika.
Nywele zake zimeshaota?Wamepewa onyo na waziri mropokaki Mwakyembe kawaambie wasome vichwa vya habari tu ili magazeti yauzwe na wadau!