TCRA, Tigo ni wezi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,413
81,262
Unajiunga halichachi dakika 25 for 1,000 Tsh. Hupati dakika 25 . Zinaisha kwa less than 25 minutes. Sijui mitambo wameiset vipi kufanya wizi wa namna hiyo!TCRA make a folow up of this theft!
 
Jaza ujazwe....wajanjawajanja sana hawa watu mb70...unadownload picha ya kb 57...unatumiwa sms...umebakiwa na mb50...,mara hoooo huna mb za kutosha
 
huko rwanda leo serikali imepiga fine MTN ya 7mil $ kwa kukiuka masharti ya utendaji!
 
Mitandao ya simu ya Tanzania inaendeshwa kilevi kama HALOTEL na skendo yao,inchi maskin maskin tu,..
 
Back
Top Bottom