Umasikini ni kitu kibaya sana

Newera

Senior Member
Mar 8, 2017
132
202
Miongoni mwa vijana wengi tupo kwenye umasikini hata kama tumeajiriwa au kujiajiri mfano mtu ni mtumishi lakini hata kula kwa mawazo
viashiria vya umasikini ni
mshahara haukutani kwa baadhi ya watumishi
watu hawana furaha muda mwingi
Kulalamika kwing nk
Jinsi ya kujikwamua umia kwa wakati huku ukitafuta vyanzo vingine vya mapato
 
Hakika ...... Nauchukia sana umasikini.... sana sana:):confused:
 
Inasikitisha sana...

kuna wengine hata wazipate vipi hawaridhiki... siyo kwamba hawana...

cc: mahondaw

Smart911 love mtoa mada anajua majukumu ya kila mtumishi lakini ???

Tumetofautiana koo wengine tunategemewa na ukoo nzima kusomesha kuhudumia watoto wa ndugu ambao wanepoteza uhai n.k

still mtu bado hujapanga maisha after kustaafu au leo/ kesho umeachishwa kazi ghafla inakuaje!!??

wengine wazazi wetu wanatutegemea aseeeh

wengine unaona kabisa mtoto wa mamdogo mjomba Shangazi ana vision ila ndoivo mzee wake hali si shwari kwanini usimsaidie

Unakula vizuri some days sio kila siku

ila yote tisa Inategemea na mfuko wako!!

Hakuna asiyependa maisha mazuri
 
True lengo ni kufikisha ujumbe then tujikwamue
 
Kuna bidhaa nyingne hazikosi soko ila bei hushuka tu kidogo kutokana na demand na supply graph sokoni mfano iliki mchele vitunguu swaumu nk mm naamn sna katika kilimo cha mazoa ya biashara
 
Miongoni mwa vijana wengi tupo kwenye umasikini hata kama tumeajiriwa au kujiajiri mfano mtu ni mtumishi lakini hata kula kwa mawazo
viashiria vya umasikini ni
mshahara haukutani kwa baadhi ya watumishi
watu hawana furaha muda mwingi
Kulalamika kwing nk
Jinsi ya kujikwamua umia kwa wakati huku ukitafuta vyanzo vingine vya mapato
Kweli aisee watu hata kutimiza basic needs ambazo ni chakula, mavazi na malazi ni mtihani!!
 
Smart911 love mtoa mada anajua majukumu ya kila mtumishi lakini ???

Tumetofautiana koo wengine tunategemewa na ukoo nzima kusomesha kuhudumia watoto wa ndugu ambao wanepoteza uhai n.k

still mtu bado hujapanga maisha after kustaafu au leo/ kesho umeachishwa kazi ghafla inakuaje!!??

wengine wazazi wetu wanatutegemea aseeeh

wengine unaona kabisa mtoto wa mamdogo mjomba Shangazi ana vision ila ndoivo mzee wake hali si shwari kwanini usimsaidie

Unakula vizuri some days sio kila siku

ila yote tisa Inategemea na mfuko wako!!

Hakuna asiyependa maisha mazuri
Ni kweli mahondaw wangu... Maisha yanatofautiana sana... Wengine wanazipata ila hazikai kwa sababu...
 
Back
Top Bottom