Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Habarini Wakuu
.
Ndugu vijana wenzangu muishio maeneo ya mijini hasa hapa Dar
kwa wale wenzangu na mimi tunaotumia usafiri wa Umma (Daladala)
.
kutokana na hali ya usafiri kuwa mgumu kuna wakati watu hupanda daladala na kuwalazimu kusimama kutokana na nafasi ya kukaa kukosa
.
Kutokana na hali hii kuna wakati wazee pia huwalazimu kusimama kwenye daladala kutokana na kukosa sehemu za kukaa
Ombi langu kwa vijana wenzangu naombeni tuwape nafasi za kukaa hawa wazee tunapopanda nao daladala
.
hivi unajisikiaje kukaa kwenye seat wakati mzee sawa na baba, mama, bibi au babu yako amesimama hata kama nauli inakuuma ila ni vyema kuwa na maadili kdogo kwa kuheshimu wazee,
.
.
.
Vijana.....,