Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 584
- 644
Hakika ni muongo mmoja uliosheheni maajabu maajabu na maajabu.Ni vioja.
Arsenal na Simba bado wanahaha miaka kadhaa ya ukame wa kukosa ubingwa, Marekani bado inahaha kutuliza ghasia walizoziibua wenyewe Afghanstan.
Lakini Tanzania nako maajabu hayakosekani.Nianze na yale chanya; JPM anasafisha nchi ni feki feki feki kuanzia mwalimu hadi mwanafunzi, lakini Yanga inaendelea kubweda tu na makombe, Serengeti Boyz ndio habari ya mjini!

Vituko sasa; ni muongo mmoja wa vituko na vioja, kule Marekani jamaa mmoja ameumwa na nyoka alipojaribu kumbusu mnyama huyo hatari

Lakini kali ni hii: baada ya miaka kadhaa ya kukosa hoja ya kisiasa na kufilisika kabisa katika ujenzi wa hoja, Chadema wametoa mpya Arusha.
Walijaribu kiki ya kulalamika Mbunge wao kutopewa nafasi ya kuongea, tena katika mkutano ambao hata wazazi wa marehemu na ndugu tu hawakupata nafasi hiyo wala kuililia, wakaona kiki hii imebuma;
Pili, wakiwa mpaka sasa hatuhasikia mchango wao kwa wafiwa wala majeruhi wa ajali ya wanafunzi Arusha, wakaibuka kupigania eti wafiwa hawajapewa rambirambi zao??
RC Gambo kiboko yao alipomwaga hadharani takwimu za michango iliyopatikana (ambapo hakuna hata senti ya mchango wa Chadema) wakaona kiki hiyo nayo imebuma!

Sasa sikiliza kiki ya tatu na ya mwisho katika siasa za hawa jamaa kabla hawajakaa kimya kusubiri tukio jingine walitumie kisiasa;
Katika kiki hii wamekusanya viunga, vidagaa, vimafuta na kulazimisha baadhi ya ndugu wa marehemu na kudai eti wanakwenda kuwapa misaada (wamesahau hawa ni wafiwa na wameshazika siku nyingi sio waathirika wa mafuruko)
Cha ajabu wanabagua kwa kuwapa watu wao tu (Serikali ingefanya hivi looh) huku wakikusanya kundi kubwa la wanafunzi, wanahabari na kuanzisha na mikutano isiyo na tija na maandamano (kisa kupeleka vidagaa vyao).
Hivi hawa jamaa ndio wangetoa majeneza yote 35, kugharamia maziko ya watu wote 35 na kugharamia tiba ya watoto wale wa3 wakiwa na maumivu hospitali pale Mount Meru au wangekodi ndege kuwapeleka majeruhi Marekani ingekuwaje?
♂
♂
Hizi ndio siasa za kilaza anayeongozwa na vilaza. Mungu atuepushe na janga hili dah!
Ndio maana nitaendelea kumkumbuka sana legal jurist na bingwa wa falsafa, mjenzi makini wa hoja na galacha wa canon laws, Dr. Wilbroad Slaa.Aendelee kupumzika Mzee wetu huyu.
Political Jurist wa Udom