Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekaa nikajiuliza maswali mengi, kwanini kichaa, anakula uchafu, anang'atwa na wadudu etc, lakini haumwi? Doctrine hii ikipatiwa majibu basi itafichua siri kubwa na uwezo mkubwa alionao binadamu...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu Naomba kuuliza ni huduma gani naweza kuzitoa kupitia mashine ya Max malipo, na faida yake ikoje? Na upatikanaji wake wa hii mashine.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati serikali yetu inaanza kazi, walileta mbwembwe za mahakama ya mafisadi nikajua kiama chao mafisadi kimefika[emoji2] [emoji2] Mpaka sasa sijasikia kesi iliyoamriwa na hiyo mahakama wala mtu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tasnia ya Udereva katika Nchi hii haiwezi kuwa Bora bila kuimarisha Maslahi ya Madereva, tuboreshe Maslahi yao ili kuepusha Ajali na Utendaji kazi mbovu.
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Kuna kitu kikubwa naona mungu anafanya makosa kwa sasa, nikisoma maandiko mbalimbali nagundua kuwa Mungu alikuwa anawaleta mitume na manabii kwa awamu. Si hivyo tu, alikuwa anawaleta kwa uchache...
15 Reactions
100 Replies
8K Views
Ndugu wanafunzi, wazazi, walezi na wadau wa elimu kwa ujumla. Tunapenda kuwajulisha kuwa masomo ya ziada (Tuition) kwa wanafunzi wakati wa likizo yataanza tarehe tano saa MBILI asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Jeshi la Polisi Lajibu tuhuma za vyeti feki | MPEKUZI Jeshi la Polisi nchini limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha askari wake kuwepo katika majina ya vyeti...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wana jamvi naomba mnijuze wapi ninaweza kwenda kukopa pesa kwa riba nafuu?
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Serikali za Tanzania na Malawi zimeingia makubaliano ya kuutumia Mto Songwe kwa shughuli za Umwagiliaji na Uzalishaji wa Umeme. ===== The Malawi Government and the United Republic...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nikiangalia ile unease na discomfort inayosababisha katika maisha na utaratibu wa uendeshaji wa shughuli mbali mbali za kawaida za kimaisha, pamoja na irregularities mbali mbali, nimeshawishika...
0 Reactions
5 Replies
815 Views
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga ameeleza kuwa Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo, President Magufuli atakabidhi uenyekiti kwa Rais wa Uganda, Yoweri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanasiasa ambaye anataka au ana mipango ya kuja kuwa Raisi wa Nchi hii anasema ,,anajuta kuzaliwa Tanzania", hili jambo la ajabu sijawahi kuliskia popote pale, hivi unawezaje kujutia jambo ambalo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uongozi wa shule za Kaizirege umekanusha vikali taarifa za uongo zinazosambazwa mitaani kuwa shule zake zinafungiwa kwa sababuya matatizo yaliyojitokeza katika mitihani ya kidato cha 6 uliofanyika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni naombeni tushirikiane kujadili juu ya watoto wetu waliopelekwa Marekani kwa matibabu kujua afya zao
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchungaji wa kijiji kimoja huko zimbabwe Pastor Jonathan Mthethwa ametafunwa vizuri na mamba watatu alipokuwa akijitutumua kutembea juu ya maji Kama yesu katika mto MPUMALANGA au kwa jina maarufu...
16 Reactions
191 Replies
23K Views
TETESI ZA KUWAPUNGUZA WALIMU WA MJINI KWENDA VIJIJIN JE, MKIWAHAMISHA MWENGE WENU ATAKESHA NANI?....
2 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari, Nina kikundi cha wamama zaidi ya 150, katika maeneo mbali mbali ya mikoa ya dar na pwani, hawa wamama ni wale waliotelekezwa na waume zao, waliozalishwa katika umri mdogo,na wajane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam.... Kama ilivyofanyika kwa wafanyakazi wa taasisi asasi za serikali kukagua vyeti feki. Naomba hili zoezi lifanyike kwenye taasisi na asasi binafsi ili kuondoa huu uozo. Anza na shule...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
UPDATE: Mei 18, Alhamisi Saa 2:05 (Saa za Afrika ya Mashariki) HIVI PUNDE, kutoka hospitali ya Mercy, Sioux City, IA MTOTO Wilson kwa mara KWANZA ametoka NJE ya Jengo Kuu la Hospital ya Mercy...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajukwaa nahitaji kujua wapi nitapata trackers hapa TZ kwaajili ya kufunga kwenye magari ili kufuatilia nyenendo za madereva. Nimejaribu ebay nimeona kuna za aina mbalimbali na bei tofauti...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…