Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
UPDATE:
Mei 18, Alhamisi
Saa 2:05 (Saa za Afrika ya Mashariki)
HIVI PUNDE, kutoka hospitali ya Mercy, Sioux City, IA
MTOTO Wilson kwa mara KWANZA ametoka NJE ya Jengo Kuu la Hospital ya Mercy akiwa kwenye "wheelchair", huku Mama na Daktari wake wakiwa na TABASAMU***
Pia tumeombwa kuomba dua kwa Kati ya mmoja Ambae yupo katika chumba cha operation