FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,807
Nikiangalia ile unease na discomfort inayosababisha katika maisha na utaratibu wa uendeshaji wa shughuli mbali mbali za kawaida za kimaisha, pamoja na irregularities mbali mbali, nimeshawishika kuuliza hilo swali