Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Wanajukwaa nahitaji kujua wapi nitapata trackers hapa TZ kwaajili ya kufunga kwenye magari ili kufuatilia nyenendo za madereva. Nimejaribu ebay nimeona kuna za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti (Link tracker | eBay) ila sijajua aina ipi ni nzuri na inafanyaje kazi. Kama kuna mwenye idea anipatie hii elimu