Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,013
Nimekaa nikajiuliza maswali mengi, kwanini kichaa, anakula uchafu, anang'atwa na wadudu etc, lakini haumwi? Doctrine hii ikipatiwa majibu basi itafichua siri kubwa na uwezo mkubwa alionao binadamu ubongo wa binadamu to be specific na endapo binadamu atajua siri hyo basi hata UKIMWI na magonjwa mengine na mambo mengine yanaweza ponywa kwa kutumia ubongo peke yake.
N.B dont come up with easy answers plz, dont involve god in this.
Nahitaji majibu nje ya supernaturals
N.B dont come up with easy answers plz, dont involve god in this.
Nahitaji majibu nje ya supernaturals