Jeshi la Polisi lajibu tuhuma za vyeti feki

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,603
3,658
Jeshi la Polisi Lajibu tuhuma za vyeti feki | MPEKUZI
Jeshi la Polisi nchini limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha askari wake kuwepo katika majina ya vyeti feki na kusema taarifa hizo ni za uongo na wala hazijatolewa na Jeshi hilo.
Hayo yamebainishwa na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, ACP Advera Bulimba na kusema wanaendelea kumtafuta mtu aliyesambaza taarifa hiyo kwa lengo la kupotosha umma ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake na kuwa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
"Jeshi la Polisi nchini, linaujulisha umma kwamba, orodha ya majina ambayo yamekuwa yakisambazwa kwenye mitandao ya kijamii yakidai kuwa ni majina ya askari wa jeshi la polisi wenye vyeti feki ni ya uongo na wala taarifa hiyo haijatolewa na jeshi la polisi". Ilisema taarifa hiyo.
 
basi sawa muda utaongea mtakavyanza kuongea lugha tofauti tofauti kama wajenzi wa mnara wa babeli. :p:p:p:D:D
 
Afadhali wakuu., kwani kwa umuhimu walionao jeshi la polisi hawakupaswa kabisa kuwa na askari wenye vyeti feki.
Hongera jeshi la polisi kwa kuwa mfano wa kuigwa kwa taasisi pekee isiyokuwa na vyeti feki
 
HONGERA.............
 
Jeshi la Polisi Lajibu tuhuma za vyeti feki | MPEKUZI
Jeshi la Polisi nchini limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha askari wake kuwepo katika majina ya vyeti feki na kusema taarifa hizo ni za uongo na wala hazijatolewa na Jeshi hilo.
Hayo yamebainishwa na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, ACP Advera Bulimba na kusema wanaendelea kumtafuta mtu aliyesambaza taarifa hiyo kwa lengo la kupotosha umma ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake na kuwa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
"Jeshi la Polisi nchini, linaujulisha umma kwamba, orodha ya majina ambayo yamekuwa yakisambazwa kwenye mitandao ya kijamii yakidai kuwa ni majina ya askari wa jeshi la polisi wenye vyeti feki ni ya uongo na wala taarifa hiyo haijatolewa na jeshi la polisi". Ilisema taarifa hiyo.

Hivi na kwanini huyo ' Msemaji ' wa Jeshi la Police aliamua ghafla ' kujiita ' Advera Bulimba kutoka lile jina lake ambalo wengi tulilizoea na hata kulipenda la Advera Senso?
 
Jeshi la Polisi Lajibu tuhuma za vyeti feki | MPEKUZI
Jeshi la Polisi nchini limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha askari wake kuwepo katika majina ya vyeti feki na kusema taarifa hizo ni za uongo na wala hazijatolewa na Jeshi hilo.
Hayo yamebainishwa na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, ACP Advera Bulimba na kusema wanaendelea kumtafuta mtu aliyesambaza taarifa hiyo kwa lengo la kupotosha umma ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake na kuwa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
"Jeshi la Polisi nchini, linaujulisha umma kwamba, orodha ya majina ambayo yamekuwa yakisambazwa kwenye mitandao ya kijamii yakidai kuwa ni majina ya askari wa jeshi la polisi wenye vyeti feki ni ya uongo na wala taarifa hiyo haijatolewa na jeshi la polisi". Ilisema taarifa hiyo.
Bora hata sihangaike kutoa watu wa vyeti feki maana police post zitabaki empty:D
 
Ha ha ha ha haaa ... haya bana tumekubali bc tufanye huko hakuna vyeti feki ...

Ila wajue kuwa polisi sio wote wanaishi kambini ... wengine ni masela wetu kitaa ...

Wengine tunawajua tumecheza nao chandimu ...

Wengine ndugu zetu tumechangia mikono kwenye vyungu huku uswazi ...
 
Back
Top Bottom