Malo Robi
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 324
- 544
Salaam....
Kama ilivyofanyika kwa wafanyakazi wa taasisi asasi za serikali kukagua vyeti feki. Naomba hili zoezi lifanyike kwenye taasisi na asasi binafsi ili kuondoa huu uozo.
Anza na shule binafsi na vyuo binafsi hasa za hawa wahindi maana uozo ni balaa!
-Mtume waziri wako wa elimu mama Ndalichako aje katika chuo hiki cha Mt. Joseph Mbezi-Luguruni ashuhudie walimu wa kihindi ambao hawajui hata kiingereza. Sijui wanapeleka wapi hii elimu yetu.
Rais fanya hima maana watoto wanateketea mchana kweupe