Huduma gani naweza kuzitoa/kupitia mashine ya Max malipo?

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,479
1,348
Wakuu Naomba kuuliza ni huduma gani naweza kuzitoa kupitia mashine ya Max malipo, na faida yake ikoje? Na upatikanaji wake wa hii mashine.
 
Huduma za miamala ya kifedha...kulipia bili...kununua vocha...kununua umeme....kuuza ticket n.k

wasiliana na ofisi ya max malipo iliyo karibu na wewe kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom