Benki gani inatoa mkopo kwa riba rahisi?

Mimi ni mwanachuo ila nina viwanja ,nataka nikawape hati ya kiwanja wanipe mkopo nitarudisha nikimaliza kusoma
Hakuna bank itafanya hicho unachofikiri watafanya.. Tafuta mkopo binafsi kwa ndugu au tajiri yeyote
 
Mimi ni mwanachuo ila nina viwanja ,nataka nikawape hati ya kiwanja wanipe mkopo nitarudisha nikimaliza kusoma
Ungekua na biashara nngekuelekeza sehem.. ila sasa bila biashara au chanzo kingine cha mapato utalipa kwa kutumia nini
 
Usimkatishe tamaa, kama ana hati ya kisheria ya hicho kiwanja na kipo sehemu potential atapata.
Benji gani itampa mkopo ndugu? Halafu marejesho atapeleka nini assignments?? Kiufupi haiwezekani bora akope kwa ndugu au auze uwanja alipe ada kiasi na kiasi kitakachobaki abuni biashara itakayomuwezesha kuendeleza maisha
 
Hebu nielekeze mm nibust kabiashara kangu.
Nenda tawi lolote la equity bank, wana matawi quality center, mwnege tarakea, mbagala, kariakoo, golden jublee posta, temeke pale mwembe yanga kwa dar kama uko mkoan nambie nkuambie pia
 
Mkuu watakubali ukope halafu uwalipe baada ya kumaliza kusoma?
 
Nenda tawi lolote la equity bank, wana matawi quality center, mwnege tarakea, mbagala, kariakoo, golden jublee posta, temeke pale mwembe yanga kwa dar kama uko mkoan nambie nkuambie pia
Halafu hapo mwembe yanga maeneo gani haswa? Huku karibu na kisuma bar au unavuka bara bara?
 
Back
Top Bottom