Ufisadi na awamu ya tano

More problems

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
432
257
Wakati serikali yetu inaanza kazi, walileta mbwembwe za mahakama ya mafisadi nikajua kiama chao mafisadi kimefika

Mpaka sasa sijasikia kesi iliyoamriwa na hiyo mahakama wala mtu aliyehukumiwa

Brazil spika wa bunge kasweka mvua 15 kwa ufisadi

Hapa kwetu wenye dhamana wanatuigizia katamthiliya afu steering dk Chen na Ray.... Uongo tu hawapambani na mafisadi.
 
wameshasema hawapangiwi mkuu...ila ingependeza hao mafisadi wafilisiwe na wafungwe kabisa
 
Back
Top Bottom