Ujumbe wa elimu kwa kila mtu

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
871
Ndugu wanafunzi, wazazi, walezi na wadau wa elimu kwa ujumla.
Tunapenda kuwajulisha kuwa masomo ya ziada (Tuition) kwa wanafunzi wakati wa likizo yataanza tarehe tano saa MBILI asubuhi.
Yatafanyika kwa ushirikiano wa walimu mbalimbali kutoka shule zenye wastani mzuri wa ufaulu na nidhamu.

EWE MWANAFUNZI kutana na mwenzako wa shule nyingine ili ujifunze kitu kipya na mbinu mpya.
Wanafunzi kutoka mikoani na wale wa shule za Dar es salaam kama Mbezi Beach High School, Mbezi High, Makongo, Kisutu, Tambaza, Jangwani, Azania, Air wing, Jitegemee, Tusiime, St. Mathew, Heri Sekondari, Wazo Hill na nyinginezo watakutana pale MESAC OPEN SCHOOL maeneo ya Bamaga.

Masomo yote kwa O-level na A-level yatafundishwa.

Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzako.

Kwa mawasiliano zaidi:

Mwl. Mzilikazi : 0717211143
Mwl. Maeda : 0717104507
 
Back
Top Bottom