Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,762
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga ameeleza kuwa Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo, President Magufuli atakabidhi uenyekiti kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni May 20 2017 jijini Dar es salaam
Source: Millardayo.com
Source: Millardayo.com