Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Mwanasiasa ambaye anataka au ana mipango ya kuja kuwa Raisi wa Nchi hii anasema
,,anajuta kuzaliwa Tanzania", hili jambo la ajabu sijawahi kuliskia popote pale, hivi unawezaje kujutia jambo ambalo haujalitenda? Hakuna aliyejileta Tanzania wote tumejikuta tunazaliwa hapa sasa unawezaje kujutia? Unaweza tu kujutia kitu/jambo ambalo umelitenda, ni sawa na baada ya kupata ajali na kuvunjika mkono au mguu au tuseme umeugua Saratani halafu useme najuta kuugua Saratani, hii ndiyo tafsiri yake, na ndiyo maana kwangu mimi Viongozi hawa wana low IQ, lkn wao hawajalijua hilo wanafikiri wako smart lkn kumbe wanajidanganya, ...