Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wengi wakikufahamu kama Mr. Siri,ulifundisha wengi na wengi wanatumia notes zako za Accountancy.Ametutoka jana Mungu amlaze pema panapomstahili.
0 Reactions
6 Replies
45K Views
WARAKA YA WAZI KWA UONGOZI WA SAHARA MEDIA GROUP KUHUSU KIPINDI CHA TUONGEE ASUBUHI KINACHOTARAJIA KURUSHWA JUMATATU YA TAREHE 22/5/2017 Anaandika William Bundala (Kijukuu Cha Bibi K)...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni kwanini kwa asilimia kubwa katika maisha ya mke na mme, wanaume utangulia kufa kuliko wanawake?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimesoma na kuangalia kutoka kwenye magazeti na luninga kuwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo ni Tshs.265bn. Nimesikitishwa sana na fedha iliyotolewa ni KIDOGO, KIDOGO SANA. Kiimo ndicho uti wa mgongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenu wanajamvi, Rejea mada tajwa hapo juu. Leo katika kufuatilia maneno ya Mungu kupitia watumishi wa Mungu mbalimbali, nimekutana na Mtumishi wa Mungu ambaye huwa ninamkubali na katika...
8 Reactions
218 Replies
17K Views
Kampuni ya kizalendo iitwayo Utalii entertainment inakuwa kampuni ya kwanza hapa nchini kutengeneza filamu zenye maudhui ya utalii tu( mtaani zinafahamika kama filamu za wanyama) . Inatalajia...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Habar ya hasubuh ndgu wana jamvi? Ndgi zangu wanajamvi,nchi yetu umefika iliko kwa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake aidha vyema au vibaya ilimradi katimiza wajibu! Kiuchumi nchi yetu imefika...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Watakaoniita @ mimi sio mzalendo poa tu, lakini ukweli ni kuwa Tv za Tz hazina burudani. Zinajaza stress tu. Kuna mida nakaa naangalia hata bunge la kenya na kulifatilia kwa makini kabisa kuzidi...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
CHUKUA HII Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Tanapa wamekuwa mabigwa wa matamko,watanzania wafanyeni utalii wa ndani au kuwachukua watangazaji wa vipindi kuwapeleka mbugani wao halafu wakirudi nao wanaendeleza matamko watanzania fanyeni...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Akija shetani ktk umbo la mwanadamu anasema"mimi naponya wagonjwa, maskini wanakuwa Matajiri, Na magonjwa wanayoponya"wanaanza kukutabiria ugonjwa wako uriluka dawa za kichawi mara kazi yako...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
In defense of Lake Malawi: No need for negotiations! Lake Malawi belongs to Malawi in its entirety [http://www]Lake Malawi The rules of 1971 by U.N., cannot be the benchmark to be the tool of...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa muda wa mwezi sasa fikra za Wakenya wengi na wanayoyapigania ni kama haya yafuatayo: Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula Gharama ya maisha kupanda hasa bei ya Vyakula Gharama ya...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Walioshiriki mapenzi ya jinsia moja kuchapwa viboko 85 Indonesia Wawili hao wenye umri wa miaka 20 na 23 walipatikana wakifanya mapenzi kitandani mwezi Machi. Mahakama ya Sharia katika mkoa...
5 Reactions
122 Replies
15K Views
Mtandao maarufu INSTAGRAM ambao Umetajwa kwa ndio wenye madhara hasi makubwa kwa akili za vijana kuliko zote duniani... Pamoja na Madhara mengi, pia kuna kile kinachoitwa "FOMO yaani Fear Of...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Haya ndiyo aliyosema CEO wa CRDB Bw. Kimei kwamba "KIMEI- Nunueni hisa za CRDB, na sio mashamba au nyumba mpate faida"! Je CRDB nayo iko mbioni kufia huko? Kulilia watu kununua hisa je yamaanisha...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wadau, Mimi ni mshabiki mkubwa wa pranks za Just for Laugh Gags. Wale wenzangu na mimi tujumuike hapa tucheke pamoja, tupunguze stress tuongeze siku za kuishi.
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imelazimika kuwafukuza kazi watumishi wake sita kwa makosa ya uzembe na utoro kazini wakiwemo madereva watatu waliokuwa wameajiriwa kwa muda baada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wenzetu ambao mpo karibu na AZAM tufikishieni kilio hiki....usafiri wa Mafia mgumu roho mkononi
1 Reactions
0 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…