Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuongezeka kwa mauaji ya viongozi wa serikali za mtaa na polisi kumeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za kiuchumi, kisiasa na kijamii katika maeneo kadhaa wilayani Rufiji na Kibiti mkoani Pwani...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Karibuni tu mtiririke na mserereke tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The AU recognises that at least 70% of the African population is made up of young people. 54 years after the creation of the Organisation of African Unity (OAU; known from 2002 as the African...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Jamani wanajamvi naomba msaada jinsi ya kujiunga na freemason kwani marafiki zangu wengi wamekuwa wakinifuata niwaelekeze jinsi ya kupata namba za freemason na kujiunga na freemason kwani mimi...
1 Reactions
98 Replies
124K Views
Hatimaye Benokolongokonongose nimeona vema kuuliza. Kwa nini maaskofu wanatumia alama ya freemason ya vidole 2 wanapotubariki?Tofauti na padre/mchungaji anapotubariki, hawafanyi hivi vya vidole 2?
0 Reactions
73 Replies
21K Views
Imegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilikuwa nahama hotel na bar kila siku, kila ikifika saa 2 usiku wateja wote wanaomba wawekewe taarifa ya habari ya ITV sio tv nyingine...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Kutokana Na serikali kutokutoa majibu juu ya ajali Ile watanzania tunayapi ya kuieleza serikali kama wananchi
0 Reactions
12 Replies
942 Views
Waheshimiwa napenda kuwasalimu Asallaam alleikhu na bwana asifiwe, matumaini yangu kuwa hamjambo na poleni na mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini kwetu Tanzania, halikadhalika nawapa pole...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana JF, Ukipita katika mitandao ya jamii, yaani kuanzia hapa our homeland JF, kule twitter, instagram kule na baba lao facebook utagundua watanzania wengi wanapost kusema wamemiss sana Mh...
17 Reactions
258 Replies
25K Views
Gilbert Phillip Kutta Hakuna upumbavu kama unapokuwa mwajiri akawa unamlipa mfanyakazi wako kwa jina lisolokuwa la kwake ukaanza kujiona ulikuwa na akili na haki ya kufanya hivyo ila yeye alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni moja ya barua iliyoandikwa na Padre kwa Papa ili aweze kumruhusu kuachana na useja. Naona watu wanachanganya sana hapa,wanashindwa kujua kuwa kwa mujibu wa Sheria za Kanisa,"Canon law 290"...
20 Reactions
44 Replies
11K Views
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam leo wamejitokeza kwa wingi katika msiba wa Dada wa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yaliyofanyika katika eneo la Pugu Kajiungeni...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Katika pitapita na kuchangamana na watanganyika, utafiti uchwara (usio rasmi), haya ndio Makabila au Jamii za watu wenye misimamo na wanaojiamini.... Katika biashara zao, kudai haki...
8 Reactions
132 Replies
11K Views
Nimeona ziara ya Trump Israel, moja ya sehem alipotembelea ni WESTERN WALL. Kwa mwenye kujua naomba anielimishe, hiyo Western wall ina hadhi gani. Maana nimeona ni ukuta wa zamani ila unapewa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, Kama nilivyoandika hapo juu hii barabara ina mashimo ya kutosha. Napata shaka kwa wasafiri wa usiku wa Mbagala Ikwiriri najua watakua mashahidi aisee hii njia ni mbaya sana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Barabara ya kuingilia jirani na kampuni ya Utalii ya Fortes iliyopo opposite na shule ya Arusha Modern (Sakina) kupandisha kuelekea Kanisa Katoliki la Mt. Monika, Sakina Arusha ni mbaya na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa wakristo wanaamini sana miujiza! ukiwaambia unauwezo wa kuponya vilema na kuwaombea wapate magari kesho watafurika hadi ukose nafasi ya kukaa. Ni watu wasiojiamini kuwa...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Why automation could be a huge threat not only to India's growth but the whole World Smart machines, robots, and other forms of automation could either be an economic poison or cure in a...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Limenijia wazo kwanini JamiiForums wasiende Dar stock exchange?! Sio kwasababu hawana fedha za kujiendesha? No! Bali nikutupa nafasi wapenzi wa JF kumuliki na kuwa part of legacy...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametoa gari jipya la kubeba wagonjwa kwa wananchi wa Jimboni kwake Mtama. Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi alizotoa...
5 Reactions
55 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…