Mamia wajitokeza katika mazishi ya dada wa mzee Kingunge

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam leo wamejitokeza kwa wingi katika msiba wa Dada wa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yaliyofanyika katika eneo la Pugu Kajiungeni.
Marehemu Bibi Coltide Samjela ameacha watoto kumi, wajukuu 36 na vitukuu 24.
Mungu ampumzishe kwa amani
 
Attachments

  • IMG-20170522-WA0049.jpg
    IMG-20170522-WA0049.jpg
    76.3 KB · Views: 96
  • IMG-20170522-WA0050.jpg
    IMG-20170522-WA0050.jpg
    100.5 KB · Views: 49
  • IMG-20170522-WA0051.jpg
    IMG-20170522-WA0051.jpg
    160.9 KB · Views: 64
  • IMG-20170522-WA0053.jpg
    IMG-20170522-WA0053.jpg
    158.3 KB · Views: 60
It seems as if there was nobody from Lumumba/CCM from casual observation! Nilitegemea waonekane kama EL anavyoonekana! Strange!
 
Kweli Kingunge kawa Mpweke!

Zamani akiwa CCM Msiba Kama huo Kijani na Njano za Chama zingetawala na Ma VX yangeshindana idadi na Waombolezaji

Pole sana Comrade na hirizi ya Chama cha TANU kwa mujibu wa Balozi Juma Mwapachu
 
kwahiyo misiba ndio sehemu ya kwenda kueneza chama

cc Kule Arusha

Nyani haoni kundule!

Wewe Msiba wa Mzee Kingunge Picha kuu imekuwa ya Lowasa sio Wafiwa

Kati ya Kingunge na Lowassa yupi ulipaswa uweke Picha yake kwanza?

Siasa haiepukiki si kuna Mtu nae mpaka Leo ana nongwa na kijiba cha roho kisa hakuongea msibani
 
Kweli Kingunge kawa Mpweke!

Zamani akiwa CCM Msiba Kama huo Kijani na Njano za Chama zingetawala na Ma VX yangeshindana idadi na Waombolezaji

Pole sana Comrade na hirizi ya Chama cha TANU
Kwani chadema wangapi wamehudhiria huo msiba wamembwaga Mzee wa watu ni baadhi tu ya waliotoka CCM na lowasa wakiongozwa na lowasa ndio waliohudhuria. Sababu Ya wengi kutohudhuria ni kuwa huyo kingunge na dada yake hawatoki Kilimanjaro wangekuwa wanatoka Kilimanjaro nafasi Ya kupaki magari isingetosha na matangazo ya kifo cha huyo Dada yake yangejaa mitandao yote Ya kijamii Radio na TV zote na kote kungefurika salamu za Pole na uhamasishaji wa michango. Ushauri wangu nawashauri kingunge na lowasa rudini tu CCM
 
upload_2017-5-22_17-39-34.jpeg

inalilih wainailah lajiuni

MEZA INAA TANGAZO LA KILEVI ''Safari ......''
Pole mtumishi wa mungu kwa kutoliona
 
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam leo wamejitokeza kwa wingi katika msiba wa Dada wa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yaliyofanyika katika eneo la Pugu Kajiungeni.
Marehemu Bibi Coltide Samjela ameacha watoto kumi, wajukuu 36 na vitukuu 24.
Mungu ampumzishe kwa amani
Wewe kanjanja ni shida!nilijua tu kisemeo cha Lowassa kitatuletea picha za Lowassa.Mamia walijitokeza kuzika umemlenga Lowassa tu
 
Kweli Kingunge kawa Mpweke!

Zamani akiwa CCM Msiba Kama huo Kijani na Njano za Chama zingetawala na Ma VX yangeshindana idadi na Waombolezaji

Pole sana Comrade na hirizi ya Chama cha TANU kwa mujibu wa Balozi Juma Mwapachu
Hayo yangepekea marehemu KUFUFUKA bila shaka
 
RIP Dada wa Kingunge.

Hatutegemei kujitokeza vitendo vya kutia aibu vya mtu kulilia kuongea kwenye msiba huu.
 
Nyani haoni kundule!

Wewe Msiba wa Mzee Kingunge Picha kuu imekuwa ya Lowasa sio Wafiwa

Kati ya Kingunge na Lowassa yupi ulipaswa uweke Picha yake kwanza?

Siasa haiepukiki si kuna Mtu nae mpaka Leo ana nongwa na kijiba cha roho kisa hakuongea msibani
Lowasa ndiye aliyeweka picha?
 
Back
Top Bottom