Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,052
Barabara ya kuingilia jirani na kampuni ya Utalii ya Fortes iliyopo opposite na shule ya Arusha Modern (Sakina) kupandisha kuelekea Kanisa Katoliki la Mt. Monika, Sakina Arusha ni mbaya na imeharibiwa na mvua hizi zinazoendelea kunyesha hapa Arusha na imekuwa kero sana kwa watumiaji wa kila siku.
Tunaomba uiingize katika mipango yako, barabara hii ichongwe na kumwagwa kifusi, kuziba mahandaki.
Cc Mhe. Godbless J Lema
Tunaomba uiingize katika mipango yako, barabara hii ichongwe na kumwagwa kifusi, kuziba mahandaki.
Cc Mhe. Godbless J Lema